Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 5,700
- 5,386
Wakuu habari za uhakika kutoka mahakama kuu ya Tanzania ( The High Court of Tanzania) ni kwamba aliekua mgombea wa ubunge jimbo la Segerea bwana Fredrick Mpendazoe amefungua case rasmi ikiomba mahakama kutengua ubunge wa Makongoro Mahanga (sijamwita Dr mana amegushi vyeti) kwa sababu utaratibu haukufuatwa.
Case hiyo ni No 98 ya mwaka 2010.
Case hiyo ni No 98 ya mwaka 2010.