Naandamana hata peke yangu kutoka m/moja hadi nec kupinga matokeo ya jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naandamana hata peke yangu kutoka m/moja hadi nec kupinga matokeo ya jk

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wameiba Kura, Nov 12, 2010.

 1. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata, Police wakininyima Kibali, maana naona Kova hakubali kutoa kibali cha kuandamana, wakati ni haki yangu kwani ni ya amani, nitaandamana peke yangu na bango langu kubwa la kupinga matokeo ya Urais ya kuteuliwa kwa JK kwani hakuchaguliwa na watu wengi walituibia kura NEC wakamteua, nasema nitaanza pale M/Mmoja hadi NEC hdqtrs, na bango langu JK SI CHAGUO LETU NI CHAGUO LA NEC na SI RAIS wangu, nasema siongei na mtu ni mimi na bango langu kwa miguu yangu hadi NEC nadhani Jmosi hii au JTatu ijayo, madudu tupu, mara TAKUKURU hovyo, CHENGE mwizi, eti sasa Anna Makinda ni Spika Sikubali hadi kieleweke, Anna ataendesha bunge au....? yaani ni hovyo hovyo tu
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  Ni sawa ila Ujiandae kabisa kunyea debe....
   
Loading...