M/kiti wanawake chadema ahujumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M/kiti wanawake chadema ahujumiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Nov 11, 2010.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu mkuu wake wakiteuliwa. hali hii ni picha mbaya kwani katika kura zilizopigwa na wanawake chadema mwezi august alikuwa namba 2 kabla hawajatoa visingizio vya uchaguzi kuharibika baada ya kuona wateule wao wakiwa wamefeli kwa mbali.
  mchakato wa uteuzi uliofanyika na vigogo kina dr. slaa, mbowe na lissu umepelekea wanawake wengi wenye sifa kuachwa huku dada wa tundu lissu ambaye hana uzoefu wala mchango ndani ya chama akipewa ubunge, mke wa dr. slaa rose kamili naye kazawadiwa ubunge kutokana na kuwa kimya wakati wa sakata la mchumba na ilikuwa moja ya makubaliano ya ukimya wake. kama kawaida ndesamburo kaingiza binti yake na mkwewe katika ubunge na waliosalia wengi ni wapenzi wa vigogo.
  katika hali hiyo tunashindwa kupima demokrasia wanayoipigia kelele kila siku.
  cha kushangaza ni kitendo cha Dr. Mkumbo kuaibisha taaluma yake kwa kujitokeza mbele ya umma wa watanzania na kusema kuwa yeye ndie aliyeweka vigezo vya uteuzi, ni kwa nini asingewashauri kuruhusu demokrasia? ni kweli ktk demokrasia kuna vigezo vipi? mbona hata wenye sifa kubwa akiwemo huyo mwenyekiti wa wamama ambaye kapigania chama kwa miaka, ana elimu na uzoefu mkubwa kaachwa?
  huu ni ubabaishaji wa hali ya juu.
  Hayati Chacha Wangwe katika uhai wake alipigania sana haki ndani ya chadema na mojawapo ni uteuzi wa viti maalum kinddugu, kifamilia, kiukoo na kimapenzi.
  katika hali hii hiyo demokrasia itajengwa vipi?
   
 2. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wewe umejaribu kuwasiliana na wahusika ukapeleka malalamiko yako wakashindwa kukujibu?
  Hizo sifa unazosema wanazo ni zipi?
  Tunaomba hii issue yako utupe evidence za kutetea unachokisema tafadhali,otherwise usituletee mambo ya hisia na chuki binafsi.
   
 3. BigTime

  BigTime Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 17, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kuona mtu mbumbumbu kama wewe....Hizo sifa unazozisema ni zipi!!!!? Halafu unajikanganya kwenye maelezo yako mwenyewe...mara alikuwa namba mbili (sasa kenye demokrasia ya kweli anachukuliwa namba ngapi)?.......utakuwa ni megni tu CHADEMA, chama hakiendeshwi kwa kuzawadiana vyeo kama SISIMU, kama ww unashangaa Ndesamburo kuwa na binti yake basi SISIMU kuna viongozi kibao wana wake zao na ndugu lukuki, sie tunaangalia ubora wa utendaji kikazi. Subiri uone kazi zao Bungeni ndo ulete hoja zako zisizo na kichwa wala miguu @SIKUFIKIRIA ooh sorry ni SIKULKIFIKA
   
 4. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani Naomi Kaihula (Mb) ana wadhifa gani kwenye CHADEMA?? huyu si ndiye mwenyekiti baraza la wanawake au???
  By the way, Hizo fitina zako peleka kule kwenye majani na njano maana nasikia ule mpasuko wa iringa mliosema Riz-one kaumaliza bado unaendelea kuwatafuna kwenye kumpata meya.
   
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmh! inamaana siku hizi vii maalumu ni maalumu kwa nyumba NDOGO?
   
 6. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tumeshasema humu si vikao vya chadema kwa mujibu wa katiba, habari hizo peleka Kinondoni makao makuu ya chadema, hatutaki umea!!!!!!
   
 7. E

  Epifania Senior Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakati tunakemea wengine ni vyema tukakubali kukemewa pia.
  Demokrasia ya kweli ni zaidi ya mkuki kwa nguruwe!!
   
 9. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Special seats Members of Parliament
  Chadema
  1. Lucy Owenya (Kilimanjaro),
  2. Esther Matiko (Mara)
  3. Mhonga Luhanywa (Kigoma),
  4. Anna Mallac (Katavi),
  5. Paulina Gekul (Manyara)
  6. Conchesta Rwalumulaza (Kagera).
  7. Suzan Kiwanga (Morogoro),
  8. Grace Kiwelu (Kilimanjaro),
  9. Suzan Lyimo (Kilimanjaro),
  10. Regia Mtema (Morogoro),
  11. Christowaja Mtinda (Singida),
  12. Anna Komu (Dar es Salaam),
  13. Mwanamrisho Abama (Zanzibar),
  14. Joyce Mukya (Arusha),
  15. Leticia Mageni Nyerere (Mwanza)
  16. Naomi Kaihula (Dar es Salaam).
  17. Chiku Abwao (Iringa),
  18. Rose Kamili (Manyara),
  19. Christina Lissu (Singida),
  20. Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar),
  21. Philipa Mturano (Dar es Salaam),
  22. Mariam Msabaha (Zanzibar)
  23. Rachel Mashishanga (Dar es Salaam).
  Ndugu, CHADEMA huijui kabisa??!!!! Mi nadhani kasambaze uongo wako huko mbele ya safari.... BAWACHA huijui kwa kuwa wewe uko UWT.... Nani kakwambia kuna wake za watu pale.... watu wengine wajinga saaana ukiona inaishia Lissu tuu tayari umepagawa kama una nyege vile... Acha kuzusha mambo bibie!!!
   
 10. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kaka naona tuachanne na huyu bibie kaanza kuleta wivu wa kimapenzi CHADEMA.... Wala hamjui Naomi lakini karukia kwenye thread kama kama kawehuka na mahuba ya makwapa!!!
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  CCM bana!!!

  Si mmeshinda...!!!
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mbona husemi Sofia Simba wa CCM? gademu!!!

  Mwenyekiti wa wanawake chadema ni mlezi wa hao walio bungeni, wakitibua anawafyatukia ndiyo maana ameachwa apate muda wa kujenga chama
   
 13. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Ukikutana na mtu akakupatia mawazo ya kijinga, ukakubali basi wewe ndiye utakuwa mjinga zaidi. Alisema Nyerere
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  better to pose that question to ccm
   
 15. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Umejipakaza sasa unataka kutupakaza wote tuchafuke.

  Tuondokee hapa na mpakazo wako
   
 16. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Huyu mfu anayetembea arudishe kwake makaburini KINONDONI aendee ku RIP.
   
 17. W

  We can JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ama kweli mwaka huu, mara huyu karopoka, mara yule kakurupuka na je Bungeni kutatokea nini? Naomba pasitokee tetemeko litokanalo na hoja za nguvu, bali nguvu za hoja....

  Ipo siku giza na mwanga vitajitenga, tena, siku hiyo yaja ambapo wapiganaji wa kweli ndani ya CCM na CHADEMA watajulikana wazi wazi bila kificho kwa wanachi. Enyi wabunge, kumbukeni mmeahidi nini kwa wananchi. Wananchi wamefungua mafaili ya AHADI za wagombea, haya, kazi kwa wagombea mlioshinda!
   
 18. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 873
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  ..ingia chadema ukaijenge demokrasia unayoilalamikia.
   
 19. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Matatizo ya mavazi yenye rangi ya mchicha. Nonsence kabisa!
   
 20. J

  Jafar JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii inahitaji utafiti zaidi
   
Loading...