mpenda
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 250
- 22
wana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni nini?? mbona hakuna wabunge kutoka nchi ya bara kwenye bunge la znz au serikali ya smz?? faida ya muungano ni nini hasa kwa bara na muungano??