Wana Jamii, Mbowe, Ndesapesa na wengineo kwenye CHADEMA (CCM ni mpaka Kikwete achilia hawa wengine)nao waombe mungu siku sheria ya KUTENGANISHA BIASHARA NA SIASA kipitishwa hatutawasikia tena...
Leo kwenye Channel Ten jamaa wa SYNOVATE wamejitokeza na kudai kipaumbele chao kwenye uchaguzi huu kilikuwa ni amani bila ya kueleza wao wangeliweza kufanya nini kuimarisha amani...
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.
Mwaka...
Katika pitapita zangu jijini Dar nimegundua kitu kimoja kilichonishangaza. Hawa mabalozi wa nyumba kumi-kumi wa CCM ni vikongwe, wengi wao tayari wamo, au wanaingia katika umri wa miaka 70 au...
Chadema imetetea jimbo la Mpanda Mjini, CCM imepata majimbo ya Nkenge, Mpanda Vijijini na Magogoni Zanzibar, CUF wamepata Jimbo la Mtoni, Mwanakwerekwe na Wete.
CUF imeongeza majimbo mawili...
Jasson Kaishozi nilimjua hivi:
Shule ya Sekondari (O-Level)------------Ihungo 1982-1985
Shule ya Sekondari (A-Level)------------Umbwe 1986-1985
UDSM BA Ed...
Naomba kujua kama huyu jambazi naye alikula kiapo cha ubunge maana alichakachua kura na lazima uchaguzi urudiwe, vinginevyo hataweza kutawala jimbo letu la Segerea.
Leo ktk vipindi vya magazeti,pote tbc,itv,na cten, walipokuwa wanakutana na habari ya chadema kutomtambua kikwete wanastuka na kusoma hovyo kama wamebugia uji bila kustress maneno.nadhani huu ni...
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma
Heshima kwenu wakuu
Jana usiku nilikuwa nikiangalia Chanel Ten, ndipo akaingia Sheikh Yahaya hussein na mambo yake, kwa kifupi mzee huyu alikuwa akimfagili JK kwa ushindi wake, alidiliki...
Wanajamvi,
Hawa ndiyo wapiganaji wetu huko bungeni yaani wabunge wa CHADEMA na picha zao kwenye website ya bunge. Hata mimi nilikuwa siwajui wote sura zao...
Ndugu zangu,
KAMWE huwezi kukausha maji yatokanayo na chemchemi kwa kumwagia mchanga.
Na kuna namna mbili za mwanadamu kuula mkate, ama aukate slesi ( Slices) kwa maana ya vipande...
Educated or Enlightened?
Epictetus, who lived from A.D. 55 to about A.D. 135,
said, "Only the educated are 'liberated'."
Admittedly, there is truth in what Epictetus said. For
one thing...
Sasa hivi kila dalili zinaelekea kuonyesha kuwa watu wameshaukubali utawala mpya wa Kikwete licha ya malalamiko ya mizengwe iliyojitokeza katika zoezi la uhesabuji wa kura.
Ni wachache sana ambao...
Edmund akihojiwa na Metty Nyang'oro katika kipindi cha Kombolela Show kinachorushwa na Radio Mbao anatoa tathmini ya matukio ya kampeni za kisiasa na uchaguzi wa Oktoba 31.
Amegusia "strengths"...
Salaam Jenerali,
Kabla sijasema neno kuhusu mada nina angalizo kwenye kichwa cha habari cha mada iliyozaa mjadala ninaoanzisha, "Jenerali...umewaacha mashabiki wako njia panda. Kwa mtazamo wangu...
Ninakiu ya ukwel naukwel huo nikusikia Sita anakuwa spika wa bunge lijalo. Huyu nikiongoz wa kwel alie leta maana ya Bunge. Uzalendo wake,umahiri wake wakufanya mambo huku akiamini kuwa kiongoz...