Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Toka kumalizika kwa zoezi la uchaguzi na kutangazwa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Urais, namchukia sana Kikwete. Sipendi na wala sitaki hata kuona picha yake, wala kusikia habari zake mahali...
0 Reactions
108 Replies
11K Views
Wakati tukilisubiri baraza jipya la mawaziri, sio vibaya kuwazungumzia waliokuwa mawaziri katika baraza lililopita lakini hawatarudishwa kwenye baraza jipya.<br /> Hawa ni wale waliokuwa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mwanzo wa Anna Makinda katika nafasi ya Uspika unaonyesha kuwa hakufaa kuwa Spika. Kama hawezi kusoma na kuzielewa kumbukumbu sahihi za bunge ni sababu tosha ya kumfanya asifae kuwa Spika wa bunge...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
bila shaka wananchi wataniunga mkono
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu Wana JF, Napenda kutoa changamoto kwa chama chetu cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na sisi wapenda mageuzi wote, Ni dhahiri kuwa uchaguzi umekwisha na chama cha Demokrasia na maendeleo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepitia gazeti la nipashe nimekutana na hii ishu.wana jamii ikiwa ni kweli tunakwena wapi!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Multiparty democracy was designed to install a popular regime to govern and lead a nation towards societal acceptable destiny……….. However, when an election is perceived to have been stolen...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Brazil vs Tanzania: Tofauti kati ya uchaguzi wa Oct. 31 Tafakari, Tanzania na Brazil zote zilifanya uchaguzi wa Rais siku moja ya Jumapili, October 31, 2010. Tanzania ina population isiyozidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
- Well, uchaguzi uliomalizika umetoa mafundisho mengi sana kwa maoni yangu mojawapo ni kwamba wanawake ni lazima wapewe nafasi katika vyama vyetu vya siasa, sio siri kwamba wanawake wengi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Wana jf mwenye taarifa ya Nakaaya azianike hapa. Alisikika kuwa amehamia ccm akitokea chadema
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari WanaJF Nimeangalia wajumbe wa CC CCM na kugundua kwamba imejaa mafisadi Na hiki ndicho chombo chenye influency katika hicho chama .Kwa maana hiyo hata Rais au Mbunge kama anaenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyerere alikuwa na mawaziri 23. Mwinyi alikuwa na mawaziri 33. Mkapa alikuwa na mawaziri 49 JK juzi tu alikuwa na mawaziri 59 na tuliona ufanyaji wa kazi wa serikali ulivyokuwa. Wana JF naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF, Habari za weekend! Naomba mnijuze mjuao: Jana Jumamosi nimesoma gazeti la mwananchi; topic inayosema Sita Avunja Ukimya ambamo Mheshimiwa Spika, Anne Makinda, amenukuliwa akisema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia na kuichunguza video inayoonesha JK akianguka pale viwanja vya Jangwani siku ya uzinduzi wa kampeni wa Chama Cha Mafisadi. Kabla ya kuanguka, JK alianza kwa kutamka maneno...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa press release iliyotoka USA kuwapongeza watanzania kuhusu kuendeleza kuchagua viongozi kupitia mfumo wa vyama vingi bila kumpongeza Jk nina uhakika akiambiwa na Obama karibu chai atagoma. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeona hatua ya kwanza ya uchaguaji wa viongozi wa awamu mpya...lakini hili ambalo linatokea bungeni sasa hivi siyo la kulikalia kimya hata kama hatuwezi kubadilisha ila tunaweza kuongena wakajua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MTASHANGAA sana enyi ndugu zangu. Nasikia sasa kaulimbiu imebadilika ghafla. Sasa tunaambiwa kwamba &#8216;wanawake wanaweza,' utadhani kuna aliyewahi kubisha. Nasema wacha tu niijadili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na. B.OLE, Baada ya kumaliza kwa sakata la uchaguzi Visiwani kinachoendelea sasa ni mdolongo wa kazi unaowakabili watendaji wa Serikali hasa Rais pamoja na makamo wake ambapo kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jembe na nyundo ilimaanisha wakulima na wafanyakazi. Je, bado tunaienzi dhamira iliyopelekea kubuniwa nembo hiyo?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom