Ukweli ndo huo jamaa wamejeruhiwa....
MICHUZI ni CCM damu damu.....kumbe ndo maana wakati wote wa kampeini alikuwa kwenye misafara..... Nilikuwa namwamini sana lakini nimekuja kumstukia.... hapendi maendeleo yetu anatumia umaharufu wa kuwa kwenye blog siku nyingi ila ukweli anaiba taarifa kutoka blogs mbali mbali.....hasa kwa Haki Ngowi....ana copy na kupaste...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.