Elections 2010 Mazungumzo Edmund Lyatuu na Radio Mbao

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Edmund akihojiwa na Metty Nyang'oro katika kipindi cha Kombolela Show kinachorushwa na Radio Mbao anatoa tathmini ya matukio ya kampeni za kisiasa na uchaguzi wa Oktoba 31.

Amegusia "strengths" na "weaknesses" za Dk. Slaa katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Kwenye "strength" amegusia "influence" ya Dk. Slaa katika kuiwezesha CHADEMA kupata mafanikio mengi ya kuwapata Wabunge, katika "weaknesses" amezungumzia walakini ambao ikiwa CHADEMA ingepata ridhaa ya kuunda Serikali, hasa katika picha ya muundo wa Baraza la Mawaziri.

Amezungumzia Chama cha Mapinduzi kuwa kilikuwa "vulnerable" katika uchaguzi huu lakini hilo halimaanishi moja kwa moja kuwa ndiyo anguko la CCM kwani CCM inalitambua hilo na inajiwekea mikakati ya kuzuia hilo.

  • Je, suala la wananchi kuwachagua watuhumiwa wa ufisadi kurudi Bungeni, ni "stamp of approval" kwamba mambo yako sawa?
  • Vipi kuhusu mchango wa vyombo vya habari mfano "traditional media" na "internet" katika uchaguzi?
  • Je, uteuzi na uchaguzi wa CCM kwa cheo cha Spika kwa kigezo cha jinsia, ni dhati au geresha?
Sikiliza jibu la ufafanuzi na audio nzima hapo chini au kupitia Chirbit - ... - RadioMbao - share audio easily


http://www.wavuti.com/habari.html#ixzz15QNKpgXe
 
Back
Top Bottom