KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika


TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,088
Likes
1,993
Points
280

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,088 1,993 280
Ninakiu ya ukwel naukwel huo nikusikia Sita anakuwa spika wa bunge lijalo. Huyu nikiongoz wa kwel alie leta maana ya Bunge. Uzalendo wake,umahiri wake wakufanya mambo huku akiamini kuwa kiongoz nikufanya maamuzi ya haki kwa masilah ya wengi, mvumilivu namfano wa kuigwa ktk kizay hk. Mungu mbariki Sita.
 

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,585
Likes
75
Points
145

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,585 75 145
View attachment 16635

Many problems that confront us today are created by CCM, whether they are violent conflicts, destruction of the environment, poverty or hunger. These problems can be resolved thanks to human efforts by understanding that we are brother and sister and by developing this sense of closeness. We must cultivate a universal responsibility toward each other and extend it to the planet that we have to share.
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
44,161
Likes
28,891
Points
280

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
44,161 28,891 280
Ili CCM ipate kufa kifo kizuri 2015 kazi iwe rahisi sana
una uhakika hawatachakachua kama uchaguzi wa mwaka huu?au hujui kila kitu kipo miikononi mwao....na wakishasoma alama za nyakati si ndio watajiandaa zaidi..?? hili hujalifikiria bro!!
 

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,106
Likes
49
Points
145

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,106 49 145
una uhakika hawatachakachua kama uchaguzi wa mwaka huu?au hujui kila kitu kipo miikononi mwao....na wakishasoma alama za nyakati si ndio watajiandaa zaidi..?? hili hujalifikiria bro!!
Kaka ngoja nikutahadharishe CCM sasa hivi inachukiwa na vijana karibu wengi ambao wamezaliwa hawakuona faida wala natija kuingangania CCM. Pili CCM inashinda kwasababu inatumia nguvu ya dola kuchakachua kura sasa limbwi la umaskini likizidi uzalendo wa hata hao dola utawashinda matokeo CCM itakufa kifo cha mende. Tatu chuki ya watanzania dhidi ya mafisadi inakuwa na zaidi wakimweka Mh Chenge ndio itaongezeka (kwani hata wale waliosema pengine watajirekebisha CCM watakata tamaa) na ndio hapo upinzani inachukua nchi kiulaini. CCM kusoma alama za nyakati ni ngumu mkuu kwani wamelewa na madaraka
 

PatPending

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Messages
490
Likes
2
Points
33

PatPending

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2007
490 2 33
Kuna kila dalili hili jina la Chenge limeingizwa mchakato wa kugombea uspika ili kuupotosha umma wa WaTanzania. Sitta ni kweli amekigawa sana chama chake na pia ni mnafiki wa kutupwa mpaka inashangaza kuona kiwango cha ushabiki alichonacho humu jamvini.

WaTanzania ni bora tujiandae kupata spika wa kwanza mwanamke, ninahisi Mh. Anna Makinda ndiye atakayepata nafasi hiyo maana;
1) kwanza ni kada wa kuaminika wa chama na hivyo ataweka maslahi ya chama mbele,
2) ni mbabe - hali hii ilidhihirika katika nyakati alizokuwa akikaimu katika awamu iliyopita alipoweza kuwamudu wapiganaji kutoka kambi ya upinzani vilivyo kwa kuwanyima fursa na muda wa kutosha kutoa hoja na michango mbalimbali.
3) Idadi kubwa ya wabunge wa upinzani ambao bila ya kupata spika "dikteta" wanaweza kuivua nguo serikali na CCM

Yangu macho
 

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
350
Likes
0
Points
33

TanzActive

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
350 0 33
1 Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7 Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12 Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13 Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati
15 Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
18 Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
20 Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
21 Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
23 Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
24 Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
25 Dr.Maua Abeid Daftari - Mjumbe
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
28 Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
30 Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
31 Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
37 Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe


Nikiangalia hapo juu sita ana wabaya wake kibao
Alafu yeye hatakuwa tena kwenye hiyo kamati , kwa hiyo ile ambition yake ya kuwa Raisi aweke kando maana fitina huwa zinaanza kwenye hii kamati kama si mjumbe is very hard to penetrate
 

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
76
Points
145

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 76 145
Poor Malecela alisema angemsaidia Samwel Sitta kurudi kuwa Spika... naona hana nguvu tena...

CCM wanajua kuporomosha Wazee wasiosikia kweli; Ni mbaya... Ngoja 2015 -- Wengi wao na Watoto watalia (Fisadi's)
 
Joined
Nov 9, 2010
Messages
8
Likes
0
Points
0

Nafahamu

Member
Joined Nov 9, 2010
8 0 0
Kama Ndugu Samwel John Sitta hatachaguliwa Bunge litapelea sana maana Ndugu Samwel sitta alikuwa anafurahisha pia wabunge na kuwafanya wahamke na kuchangia mada hususan wale wanaoingia bungeni wakiwa wamechoka na kuamua kupumzika humo humo bungeni.
 

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,208
Likes
3,313
Points
280

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,208 3,313 280
1 Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7 Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12 Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13 Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati
15 Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
18 Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
20 Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
21 Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
23 Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
24 Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
25 Dr.Maua Abeid Daftari - Mjumbe
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
28 Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
30 Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
31 Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
37 Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe


Nikiangalia hapo juu sita ana wabaya wake kibao
Alafu yeye hatakuwa tena kwenye hiyo kamati , kwa hiyo ile ambition yake ya kuwa Raisi aweke kando maana fitina huwa zinaanza kwenye hii kamati kama si mjumbe is very hard to penetrate
nina wasiwasi na hii kamati yako...ina maana na yeye mwenyewe kahusika?
 

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
1,256
Likes
10
Points
135

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
1,256 10 135
Kama Ndugu Samwel John Sitta hatachaguliwa Bunge litapelea sana maana Ndugu Samwel sitta alikuwa anafurahisha pia wabunge na kuwafanya wahamke na kuchangia mada hususan wale wanaoingia bungeni wakiwa wamechoka na kuamua kupumzika humo humo bungeni.
Kama ulikuwepo kwa kichwa changu big up. kwa nyekundu hapo. :nono:
 

Forum statistics

Threads 1,204,901
Members 457,584
Posts 28,175,189