Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WANASHERIA wote walio na maarifa timamu hapa Tanzania na duniani kwa ujumla wanakubaliana angalau katika jambo moja muhimu kuhusu uendeshaji wa nchi. Jambo hilo ni kwamba agizo kutoka mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Nimesoma gazeti moja litokalo kila wiki leo (Mwanahalisi-ukurasa wa pili). Gazeti hilo pamoja na mambo mengine limeeleza madai ambayo yameorodheshwa na Viongozi wa CHADEMA katika kikao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi profesa lipumba kasahuliwa kwenye baraza
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I am in an opinion that the wish and will of those who have the nodes of changes in our nation is at frail , there should be a very... hard backlash of the need for constitution from what we call...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Rais wa JMT Dr. Jakaya M. Kikwete ameisha tangaza baraza lake la Mawaziri. Sasa hebu tupeni hilo la CDM wao wangekuwa na wizara ngapi na mawaziri wangekuwa wakina nani? 1. Waziri Mkuu - F...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa maoni yangu Prof. Mwakyusa angeachwa aendelee na wizara ya Afya, japokuwa ni kimya naona kama aliimudu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UTAMADUNI.... Kwani kikwete ametangaza wizara zake kama amekurupuka usingizini due hakuna wizara aliyoipangia kusimamia shughuli za utamaduni na wasanii. au ndo tumeachwa huria?? last era...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
According to Mgombea umeya Mwanza Tiketi ya Chadema Chagulani Adams Ibrahim (25); amesema iwapo atachaguliwa atahakikisha elimu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne itakuwa bure Mwz...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Somo kuu katika baraza hili nikuwa Bernard Membe ni chaguo la CCM kwa 2015.Interesting kuwa kunawezekano wa rais wanne mfululizo wanaweza kutoka mkanda wa pwani tu. Hii ni coincidence au?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naombeni jibu, kabla ya jibu naomba mnibadilishie hapo kwenye cdm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Takukuru wameshindwa kubaini aliyeiba 40bn/- mali ya Umma wa Watanzania kupitia Kagoda -- hela zilizopitia katika akaunti za matawi ya CRDB -- na ilikuwa kazi rahisi kuwauliza CRDB walilipa zile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Muda huu unaopita, jk anamalizia kutangaza Baraza la Mawaziri. Mpaka dakika hizi za nyongeza, jina la EL bado halijatokea. Na kwa kuangalia tu kwamba Wizara zinanazoendana na HARAKATI zake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jana wakat wabumge wa chadema wanatumia haki yao ya kikatiba kumsusia rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambaye wanaamini kuwa hakupatikana katika uchaguzi huru na wa haki, wabunge wa vyama...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwanzoni nilidokeza mikakati inayoandaliwa kuimaliza cdm miaka mitano ijayo kuwa ni pamoja na kuwatumi "virusi" waliotumwa maalum kwa kazi hiyo ndani ya cdm. Virusi hao ni mapandikizi maalum...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunatahamu ya kusikia kutoka kwenye chama chetu pendwa yafuatayo: Matokeo ambayo wao waliyapata kutoka kwa mawakala wao, sidhani kama sasa hii inaweza kuleta uvnjifu wa amani wowote, Tunaomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli tulishabikia sana Chadema lakini wenzetu husema mwanajeshi bora huonekana siku kuna vita na hapa Dr. SLaa na Chadema bila ya kuwaficheni wanapata maksi kidogo nayo ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wadau naomba nakala ya hotuba ya Slaa pale Jangwani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…