Prof. Mwakyusa naona pia kaachwa, wizara ya Afya aliimudu

Kimweri

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2008
Messages
3,997
Likes
1,103
Points
280

Kimweri

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2008
3,997 1,103 280
Nyie mnaosema aliimudu wizara ya Afya mnajua madudu aliyoyafanya huyu prof??!!watu walifurahi kuwa wamepata mwanazuoni mwenzao angewafaa..,lakini wapi.JAMAA akawa mpole kuliko kawaida.ILE WIZARA inaendeshwa na Blandina Nyoni,YEYE ndio last order pale,yule jamaa kila kitu alikuwa anatimiza tu matakwa ya yule mama.Haiba yake ya upole ilimfanya awe reduced to mfungua makongamano na mgeni rasmi wa warsha mbalimbali.
Mbaya zaidi kuna uozo mkubwa sana umefanyika pale AFYA katika kipindi cha uongozi wake,fedha za wahisani zimeliwa hovyo,idara zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira magumu mno,utoaji wa huduma umedorora.
HE was HOPELESS.
 

STEIN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
1,765
Likes
4
Points
135

STEIN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
1,765 4 135
Kweli Prof aliiweza sana ila labda wamemuona tishio kwa 2015. Ni mmoja wa watu safi wachache waliobakia.
Usafi wa mwakyusa uko wapi au kwa vile hajawahi kuingia kwenya anga za Dr Slaa, ungeshangaa kwani we uliyajua ya Makamba na Kinana.
 

Forum statistics

Threads 1,203,217
Members 456,675
Posts 28,105,049