Lipumba wamemsahau

Pamoja na mbwembwe zote hizi lakini still ametoswa tuu!!
148661_454680506230_671901230_6108294_2351643_n.jpg
 
Kwani mpaka uone cheo??? Kachungulie akaunti yake tangu maridhiano Zanzibar hadi leo hii. Isitoshe, kesho kesho kutwa utasikia katafutiwa kijiwe kipya UN kama ilivyowahi kutokea hapo nyuma kidogo. Wewe vipi??????????
 
Ile Ilani ya CUF aliyompa Mkwere iko kwenye 'dustbin'! Kwisha kazi!
 
Hivi huyu ni Lipumba? Ikiwa ni yeye basi hakusahauliwa si unamuona anavyongárisha, yeye kapewa hii sare ya sisi-emu!
 
Back
Top Bottom