Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,237
- 33,732
UTAMADUNI....
Kwani kikwete ametangaza wizara zake kama amekurupuka usingizini due hakuna wizara aliyoipangia kusimamia shughuli za utamaduni na wasanii.
au ndo tumeachwa huria??
last era aliiweka chini ya wizara ya habari na michezo, Mkapa na wenzake waliiweka chini ya wizara ya elimu.
lakini mkwere baada ya kuwatumia bongofleva kumpigia kampeni na kuwaahidi kuwasaidia kila hali ameishia kuwachinjia baharini kwa kutowapangia wizara itakayoshughulikia masuala yao