Ni hisia tu: EL atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Messages
1,429
Likes
95
Points
145

Omutwale

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2008
1,429 95 145
Muda huu unaopita, jk anamalizia kutangaza Baraza la Mawaziri. Mpaka dakika hizi za nyongeza, jina la EL bado halijatokea. Na kwa kuangalia tu kwamba Wizara zinanazoendana na HARAKATI zake zimekwisha tajwa zoote. Sitarajii jina lake liitwe kwenye nafasi zilizobaki. Napata HISIA labda EL anausubiria Ukatibu Mkuu wa ccm?! Kiti ambacho awali kilionekana kumsubiri Kinana hapo 2012

Ni HISIA tu, niongozeni kwenye YAFUATAYO
 

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,099
Likes
3,379
Points
280

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,099 3,379 280

Atarudi tena na kusema kuna wizara ameisahau, ndipo utakapolisikia jina la EL. Si uliona mwenyewe alishaisahau wizara moja?
 

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Messages
1,429
Likes
95
Points
145

Omutwale

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2008
1,429 95 145
Atamteua Januari Makamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM. Si ukoo wao unahusiana na Mkoa huo? Babake kawahi kuwa Mkuu pale kwa atayawza.
Juu ya January, niruhusuni niunge mada nyingine hapa.Wana JF, kwa sababu hamkupata dondoa naamini nalotaka kuwajuza ni wachache tu waliopata kulijua au kulisikia.
January ALITUKAMIA sana JF. Alikuwa anazungumza mipango ya kulinyamazisha jukwaa hili pamoja na media zingine kama vile tayari alikuwa na MAMLAKA achilia UWAZIRI ulioishia kwenye ndoto katika AWAMU hii. Hii ilijitokeza siku moja nikiwa kiwanja ghafla akaingia MPIGANAJI toka humu JF (ANAFAHAMIKA). January naye alikuwa kiwanja kile kumwona tu akaanza KUSHUSHA VITISHO; "Mnajifanya mnaipinga serikali na hiyo JF yenu, subiri niingine madalakani. Nitahakikisha mnatoweka na vijalida kama MwanaHalisi. Nashngaa viongozi wa serikali wakiandikwa JF wanatetemeka. Mimi hamnitishi"Ndoto ya madalaka makubwa ilimlevya hata akasahau FADHILA ya JF kumtangaza yeye pamoja na blog yake. Nani angemjua January kwa kiwango cha sasa kama JF haikuchangia kwa kiasi kikubwa?! Tabia za vijana tuliofikiri wanaaminika kumbe wanabadilika kimsimamo baada ya kupanda migongo yetu na kutwaa madalaka inazidi kuongezeka.
 

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Messages
2,672
Likes
223
Points
160

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2007
2,672 223 160
Muda huu unaopita, jk anamalizia kutangaza Baraza la Mawaziri. Mpaka dakika hizi za nyongeza, jina la EL bado halijatokea. Na kwa kuangalia tu kwamba Wizara zinanazoendana na HARAKATI zake zimekwisha tajwa zoote. Sitarajii jina lake liitwe kwenye nafasi zilizobaki. Napata HISIA labda EL anausubiria Ukatibu Mkuu wa ccm?! Kiti ambacho awali kilionekana kumsubiri Kinana hapo 2012

Ni HISIA tu, niongozeni kwenye YAFUATAYO
Mkuu umeniwahi sana, EL kujiweka sawa na 2015 lazima awe na position ya kum influence, na post pekee nionavyo mimi iliyobaki ni ya Katibu mkuu CCM.
 

Forum statistics

Threads 1,203,551
Members 456,815
Posts 28,118,191