Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)


Status
Not open for further replies.

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Messages
4,374
Likes
136
Points
160

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2009
4,374 136 160
Uwezekano wa jipya kuwepo ni mkubwa... Najua wengine mtashtuka ikitokea mtu wa kambi ya upinzani ataingia katika baraza jipya
Mkuu Invisible, hii ni ndoto kwa CCM kuruhusu foreign impurities kuingia kwenye mtandao wao!!! Hakuna jipya, sana sana ataongeza idadi ya wanawake na kujisifia.

Anyways, tusubiri.
 

engmtolera

Verified User
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,094
Likes
71
Points
145

engmtolera

Verified User
Joined Oct 21, 2010
5,094 71 145
Kwani kuna jipya gani ktk hilo baraza,weka wazi tujue,ama kunamiiiiiiiba? Haya yetu macho twasubiri tuone kifuatacho ikulu

mapinduziiiiiiiiii daimaaaaaaaa
 

Watanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Messages
727
Likes
1
Points
0

Watanzania

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2009
727 1 0
Uwezekano wa jipya kuwepo ni mkubwa... Najua wengine mtashtuka ikitokea mtu wa kambi ya upinzani ataingia katika baraza jipya
Sitashangaa kusikia Zitto kateuliwa na JK kuwa waziri, amekuwa akitumika vizuri kuleta msuguano ndani ya Chama cha upinzani. Mnakumbuka yaliyotokea alipoteuliwa na JK katika kamati ya madini?
 

Hekima Ufunuo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
220
Likes
1
Points
0

Hekima Ufunuo

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
220 1 0
Atafanya hivyo kwa msukumo upi mkubwa (kuteua wapinzani), kwa sasa anapata presha kubwa kutoka pande zilizojeruhiwa tangu uchaguzi ulipopita na mafisadi upande wa pili na waliomsaidia kupata 61% kwa upande wa tatu na masilahi ya wananchi kwa upande wa nne. So opposition they have no chance in his thinking.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,203,923
Members 457,037
Posts 28,135,268