Utashi Wa Dr. Slaa na Chadema waanza kunitia mashaka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utashi Wa Dr. Slaa na Chadema waanza kunitia mashaka...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Nov 24, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Kweli tulishabikia sana Chadema lakini wenzetu husema mwanajeshi bora huonekana siku kuna vita na hapa Dr. SLaa na Chadema bila ya kuwaficheni wanapata maksi kidogo nayo ni "D"...............................Nitafafanua............................

  Leo gazeti la Mwanahalisi linatuhabarisha ya kuwa Dr. Slaa akidai ya kuwa watamshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mpya.................jamani huyu ni mwanasheria kweli au mbambaishaji?

  JK na CCM kwenye Ilani yao ya uchaguzi hawajawaahidi watanzania katiba mpya sasa utampeleka mahakamani kwa kutotekeleza Ilani ya chama chako ambacho kimeshindwa uchaguzi na wewe kukiri kwa kutokwenda mahakamani na kudai haki yako ya kimsingi.......................................

  Huu kama siyo udhaifu wa kiuongozi basi nini?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hujawahi kumshabikia slaa wala chadema acha unafiki
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Nina zaidi ya makala 50 kabla na baada ya uchaguzi zakuifagilia Chadema na Dr. Slaa......................kwa hiyo check your facts properly before you ooze out this halitosis...........................

  Moja ya makala hiyo ni.........................."After Nyerere, only Dr Slaa has moral authority.".......................JF iliipa five stars kutokana na umuhimu wake........................na zipo nyingine nyingi...................five starred articles.........................
   
 4. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  dont degrade yourself to that extent. Mamboa mengi yanyoandikwa magazetini ni kwa mtazamo wa mwandishi/waandishi. Hata tamko la chadema la kutotambua matoke kwa kiwango was distorted ni maan chadema wakalazimika to the facts right.
   
 5. F

  Ferds JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ndugu yangu kuna watu wamegeuza jukwaa hili kuwa la upatu kwa chadema, wao nanataka yaliyomo mioyoni mwao ndio yawe kwa wengine, if you dare to speak the truth utaambulia matusi tupu, yaani mpaka hili jukwaa limekuwa la upuuzi tu
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama umelisoma hilo gazeti.Umekurupuka kama kibaka. Hakusema atamshitaki mahakamani. Kanunue gazeti ni Tshs.500/= tu. Usilete hoja hapa bila utafiti tosha. Hukuwa wa chadema wewe usitudanganye.
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nasita kuchangia hoja ambayo haikufanyiwa utafiti wa kutosha.
  Naamini kwamba pamoja na kumsusia kikwete bado ameshaapishwa na anaendelea kuwa rais wa tanzania mpaka atakapomaliza muhula wake.
  ila kitu kimoja dhahiri ni kwamba Upinzani ulishinda ila dola iliiba kura kwa niaba ya ccm.

  Naangalia yanayoendelea bila kushabikia. najua wengi mna homa ya bara za la mawaziri ambao watapewa ulaji mpya wa kuwatafuna watanzania kwa another 5 yrs.
   
 8. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,810
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  We ndo unajiita public policy analyst. You obviously have a long way to become a real one!
   
 9. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Naogopa saaaana kusema chochote hapa! Wacha niitumie fursa hii kufanya utafiti wa kina na nitakuja na majibu :teeth:
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks rutashibanyuma

  Nadhani slaa amekusikia kwani me memba wa JF
   
 11. m

  mbarbaig Senior Member

  #11
  Nov 24, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Umesoma gazeti vizuri au umesoma heading tu? Pls do not degrade urself...read fully ...ulipasi vipi mitihani yako wewe?
   
 12. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bila ya kujali nini kinachosemwa kwenye gazeti husika, mvutano huu ni ishara tosha ya kuwa hivi sasa kuna ombwe linalofanya watu wenye mapenzi na chadema washindwe kujua kinachoendelea. It's about time chadema should pull up it's socks and show the way. You can never expect to win if you negotiate from a position of weakness. The tyranny of the status quo can only be overturned by a crises- real or perceived. chadema will only succeed to bring meaningful change if it can succeed to throw ccm into such a crises.
   
 13. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  1. Nilichosikia kutoka 'the horse's mouth' - kutoka kwa Mbowe na Dr Slaa ni kwamba matokeo yalichakachuliwa.
  2. Kwa upande wa wabunge wale ambao, matokeo yao yamechakachiliwa wanaweza kwenda mahakamani kwa vile Katiba ya Jamhuri ya Muungano haikatazi kufanya hivyo.
  3. Kwa upande wa rais, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikishatangaza kwamba mtu fulani amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya
  kuchunguza kuchaguliwa kwake [Ibara 40(7)].
  4. Kutambuwa hili la mwisho wabunge wa Chadema waliamua kumshtaki Rais kwa umma kwa kutoka nje ya Bunge kabla ya Rais Jakaya Kikwete hajatoa hotuba kwa vile walijua ndio njia pekee ya kuwasilisha ujumbe wao kuwa hawakubaliana na mfumo/mchakato uliotumika kumweka madarakani.

  5. Hivyo, mimi naamini zaidi nilichokisikia kutoka kwa wahusika wenyewe kuliko kile ambacho wewe unakisema umekisoma gazetini kwa vile naamini gazeti siyo Mbowe, Dr Slaa au Chadema.
   
Loading...