Chadema Kuleta Elimu Bure Mwanza

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,364
According to Mgombea umeya Mwanza Tiketi ya Chadema Chagulani Adams Ibrahim (25); amesema iwapo atachaguliwa atahakikisha elimu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne itakuwa bure Mwz

Anasema japokuwa kwa mfumo wa sasa wanatakiwa kutekeleza ilani ya chama tawala, lakini kwa Mwanza CCM ni chama pinzani

Source Mwanahalisi Page 7
 
Huu ndiyo wakati wa CDM kuonyesha kwa vitendo yale waliyokuwa wanatuahidi, ili kuisindikiza vizuri CCM kaburini.

Big up!!!
 
Habari nzuri ni kwamba kwa mwanza wabunge wote chadema na madiwani wengi ni wa chadema, of all madiwani huyu dogo ndio amesoma zaidi so there is a big chance atakuwa mayor
 
Hii ilishatokea karatu kweye Kodi ya Kichwa lakini wao CCM wakaifuta mwaka 2005 kwa tanzania nzima kwahiyo mimi sishangai kama watafanya elimu bure kwa nchi nzima 2014 kujikosha kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom