Mhe. Warioba na Mhe. Augustino Ramadhani wakiri CHADEMA haikukiuka sheria

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
399
Chanzo cha habari TBC1.

Wandugu,

Hao waheshimiwa wote wanasema chadema haikukiuka sheria yoyote kwa kitendo cha kususia hotuba ya jk.
 
Kwa hiyo tuseme Zitto ana wenge? Au na yeye hakuisoma vizuri katiba? Kwanini anawachanganya watu vichwa kwa kusema hakubaliani na matokeo huku anapinga kutoka nje ya bunge?

Kwa maoni yangu huyu jamaa anaijua vizuri katiba, anafahamu kanuni za bunge, anafahamu kuwa kutokumsikiliza rais hakuna kipengele walichokosea. Ila nahisi anatumiwa na CCM kutaka kuleta mgawanyiko.

Mbaya zaidi anapenyeza mambo ya udini. Hivi ni waislamu tu ndiyo wameona kuna udini? Nchi hii itafikia watu watachaguliwa kutokana na dini zao, kutokana na tabia ya waislamu kupenyeza mambo ya udini.

Napenda kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kumdiscipline zito kwa kauli zake, bila kuogopa chochote, katika chama kinachojali democrasia kuchukua hatua ni jambo la kawaida bila kujali nafasi aliyonayo ndani ya chama.

Zitto anataka kupoteza umaarufu alioupata kupitia chama.
 
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?
 
Nivigumu kuzungumzia ila naamini lazima chadema wataita kwenye vikao na kuwauliza msimamo wao wadhibitishe mbele ya mwenyekiti,katibu ili wawezekutoa tamko rasimi kama nikuwapa onyo nasivinginevyo.
 
yangu ni macho na masikio kwa sasa, tutaendelea kupata mengi, sitashangaa kusikia zitto yupo kwenye baraza la mawaziri.
 
Wabunge wengine kama Zitto ni watu wanafiki kabisa, haeleweki na hayuko pale kwa chama yeye ni mbinafsi sana anasaidia CCM. kama vipi Zitto jitoe chadema usishike wabunge wengine miguu.
 
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?

Mkuu, kwanza sioni issue hii ni mpaka isemwe na mwanasheria mkuu wa zamani au jaji mkuu, wengi tunauelewa kiasi wa kanuni na sheria, kwa kwa uelewa huo kiasi tunajua kuwa hakuvunja sheria wala hawakukiuka taratibu. Nina hakika hata Spika na katibu wa bunge wana busara za kutosha, vinginevyo wangechukua hatua mapema sana.

Pili, tunafahamu kuwa CHADEMA is not a bunch of thugs ni watu wazima vichwani kwa hiyo wasingeweza kufanya ujinga, na kukidhalilisha chama.

CHADEMA walipiga kura, na kwenye upigaji kura kuna waliopiga kura ya ndio na walipiga kura ya hapana. Kwa kuwa wengi wape, hata waliokataa walilazimika kufuata uamuzi wa wengi. Sioni kama kuna ubaya au kuna utata.

Inawezekana kuwa waliopinga walikuwa na sababu nzuri ya kupinga, na waliokubali walikuwa na sababu nzuri ya kukubali.

Lakini waliopinga walitumia busara zaidi, kufuata msimamo wa uamuzi wa walio wengi.

Waliochemka ni wale waliokurupuka na kuanza kuongea ovyo na kujidhalilisha, hata Rais pia alikosea kuongea issue ya kuwa watake wasitake.. Ilikuwa busara kama angekaa kimya tu kuliko aliyoongea. Angetafakari baada ya hotuba yake, na kutafuta proper channels za kuongea, otherwise ndio mambo yale ya mipasho.
 
Tatizo la watanzania tulowengi hatupendi kusoma ili kupata ukweli tunafanyia kazi maneno ya kufikirika bila kuangalia uhalisia wa mazingia ya wakati uliopo.
 
Mpaka hapo hakuna ulichoeleza ndugu yangu. Malizia maoni yako. Naona mawazo/maoni yako yana-hang tu.
 
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?

Tatizo pekee hapo ni kwamba chama kinaonekana hakina mshikamano. Lakini CHADEMA nao wanaweza kusema huu ndio msingi wetu, kama chama cha mageuzi, hatulazimishi consensus, na consesus tutakayopata baada ya kupiga kura za ndani ni msimamo wa chama. Kama mtu binafsi anajiona fikra zake binafsi zitamsuta katika swala kama hili, anaweza kuomba udhuru kwa muda katika swala hili.

Kwa hiyo, just because ku walk out hakuna tatizo, hii haimaanishi kukataa ku walk out kuna tatizo.

Inawezekana tuna demokrasia pana inayoruhusu wabunge ku walk out, na wengine kutoka chama hicho hicho kuamua kutojihusisha na hiyo walk out.

Hapa ndipo unapoona representative democracy as a farce, sijui hata kama hao wabunge walipata maoni ya constituencies zao kabla ya kufanya hiyo walk out. Au maana yake ukiwa mbunge sio tu unawawakilisha wananchi bali unapata haki hata ya kuwaamulia ?
 
Mkuu, kwanza sioni issue hii ni mpaka isemwe na mwanasheria mkuu wa zamani au jaji mkuu, wengi tunauelewa kiasi wa kanuni na sheria, kwa kwa uelewa huo kiasi tunajua kuwa hakuvunja sheria wala hawakukiuka taratibu. Nina hakika hata Spika na katibu wa bunge wana busara za kutosha, vinginevyo wangechukua hatua mapema sana.

Pili, tunafahamu kuwa CHADEMA is not a bunch of thugs ni watu wazima vichwani kwa hiyo wasingeweza kufanya ujinga, na kukidhalilisha chama.CHADEMA walipiga kura, na kwenye upigaji kura kuna waliopiga kura ya ndio na walipiga kura ya hapana. Kwa kuwa wengi wape, hata waliokataa walilazimika kufuata uamuzi wa wengi. Sioni kama kuna ubaya au kuna utata.

Inawezekana kuwa waliopinga walikuwa na sababu nzuri ya kupinga, na waliokubali walikuwa na sababu nzuri ya kukubali.

Lakini waliopinga walitumia busara zaidi, kufuata msimamo wa uamuzi wa walio wengi.

Waliochemka ni wale waliokurupuka na kuanza kuongea ovyo na kujidhalilisha, hata Rais pia alikosea kuongea issue ya kuwa watake wasitake.. Ilikuwa busara kama angekaa kimya tu kuliko aliyoongea. Angetafakari baada ya hotuba yake, na kutafuta proper channels za kuongea, otherwise ndio mambo yale ya mipasho.

Tena bora chadema wanatumia democracia zaidi,ccm mara nyingi wanapitisha tu na wakipitisha huo ndio unakuwa msimamo wa chama,sasa huyu zitto anadhani yeye ni muhimu sana ,aame tu chama kama hawezi kufuata msimamo wa chama ambao umeamuliwa na wengi
 
Ukisema CHADEMA wanatumia demokrasia zaidi ya CCM na si watu wa kupitisha vitu tu, then unatakiwa kufurahia tofauti ya mawazo miongoni mwa watu wa CHADEMA. Ukiona watu wanakubaliana tu ujue kuna wengine wanaburuzwa au hawafanyi kazi yao, Patton alisema.

Kumtaka Zitto ahame chama kunaweza kuwa na mantiki kama kuna pattern ya kutofautiana na chama kila mara. Kwa jambo moja kumtaka Zitto ahame chama huoni utakuwa unaifanya CHADEMA iwe inaelekea kwenye CCM ulikokukataa kwa sababu watu wanakubaliana bila kujadiliana ?

Ili CHADEMA kujionyesha kama chama chenye demokrasia zaidi ya CCM, inabidi kionyeshe kinaweza kubeba tofauti za mawazo ndani yake zaidi ya CCM.
 
Ni bora wangekaa kimya kuliko kuanza kupayuka kwenye vyombo vya habari, ooh mimi sikukubaliana, tulipiga kura. Ilitakiwa kwenye kikao hicho wakubaliane kuwa kama huaiki usiingie bungeni na ukae kimya uache wale walioafiki waemdeleza agenda ya chama.

Huu sasa ni mwanzo wa mgawanyiko ambao CCM inaulilia sana utokee ili 2015 wawe na la kusema. CHADEMA ni chama si watu, kama kuna mtu anajiona yeye ni bora zaidi ya chama hafai. Watanzania hawaangalii mtu wanaangalia watu makini na ukisema watu makini unaamanisha chama kwa ujumla.
 
Kama Jaji Mkuu na Kama Mwanasheria Mkuu wa zamani wote wanasema hakuna makosa wale wabunge wa Chadema walioamua kupingana na chama chao wataonekanaje? Itakuwaje kwama Wereme na Spika naye atakiri kuwa Chadema walitumia haki yao? hawa wabunge wengine wataonekana vipi kutosimama na wenzao wakati historia imewaita hivyo?

Mzee Mwanakijiji,

Wapo wanaotafuta umaarufu kwa kutafuta urais miaka ijayo; wrong plan! Mtu yeyote ambaye umaarufu wake uliletwa na watu, kadhalika anaweza kuondolewa umaarufu huo na umma.

Hata hivyo, wana JF; Tutambue kuwa makosa ya wanachama hao yanasameheka, kwani ndo kwanza Tanzania inakaribia kwenye DEMOKRASIA ya kweli. Ni kama usiku unapotaka kutoka, huwa unang'ang'ania! Giza linaongezeka, lakini wapi, mwanga unakuja kwa ulaini.

Kipindi hiki, watu watashikana uchawi sana, lakini, inavyoonekana, Tanzania imeshafika kwenye TRANSITION PERIOD; muda ambao WATU WENGI WASIONA MISIMAMO YA HAKI WANAHANGAIKA NA KUTANGATANGA. Ukweli utawaweka huru; kwamba, kama mtu aliingia kwa mlango wa nyuma, asitegemee kutokea mlango wa mbele...ni hukohuko anavutwa mkiani anarudi kinyumenyume hadi nje kwa mlango wa nyuma!

Wale ambao wamefika hapo walipo, kama ma JAJI hao wawili kwa njia ya haki, watatoka kwa mlango wa mbele.

He who comes in without may i come in, should go out without may i go out!

Ukiona watu wanahaha, ujue wameingia kwa mlango wa nyuma. Why worry, if you were democratically set there by people?

Nashauri wabunge wa CHADEMA na CCM wanaoamini HAKI wasitetereke, SONGA MBELE kwa masilahi ya wanachi.

I love TANZANIA....
 
Naona issue ya Zitto kutofautiana na wenzake inasemwa sana lakini nimekuwa sina source na kibaya zaidi hakuna hata chombo cha habari kilichomkariri na kuleta habari hapa. Naomba tusimhukumu Zitto isije ikawa wabaya wa mapinduzi ya kweli wanatafuta mwanya wa kuibomoa Chadema
 
Kwa hiyo tuseme Zitto ana wenge? Au na yeye hakuisoma vizuri katiba? Kwanini anawachanganya watu vichwa kwa kusema hakubaliani na matokeo huku anapinga kutoka nje ya bunge?

Kwa maoni yangu huyu jamaa anaijua vizuri katiba, anafahamu kanuni za bunge, anafahamu kuwa kutokumsikiliza rais hakuna kipengele walichokosea. Ila nahisi anatumiwa na CCM kutaka kuleta mgawanyiko.

Mbaya zaidi anapenyeza mambo ya udini. Hivi ni waislamu tu ndiyo wameona kuna udini? Nchi hii itafikia watu watachaguliwa kutokana na dini zao, kutokana na tabia ya waislamu kupenyeza mambo ya udini.

Napenda kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kumdiscipline zito kwa kauli zake, bila kuogopa chochote, katika chama kinachojali democrasia kuchukua hatua ni jambo la kawaida bila kujali nafasi aliyonayo ndani ya chama.

Zitto anataka kupoteza umaarufu alioupata kupitia chama.

Naona ni wakati wa Zitto kumfuata shoga yake KAFULILA
 
Ni bora wangekaa kimya kuliko kuanza kupayuka kwenye vyombo vya habari, ooh mimi sikukubaliana, tulipiga kura. Ilitakiwa kwenye kikao hicho wakubaliane kuwa kama huaiki usiingie bungeni na ukae kimya uache wale walioafiki waemdeleza agenda ya chama.

Huu sasa ni mwanzo wa mgawanyiko ambao CCM inaulilia sana utokee ili 2015 wawe na la kusema. CHADEMA ni chama si watu, kama kuna mtu anajiona yeye ni bora zaidi ya chama hafai. Watanzania hawaangalii mtu wanaangalia watu makini na ukisema watu makini unaamanisha chama kwa ujumla.

Kuna hilo, lakini kuna wengine wanaweza kukuambia kwamba hii ni karne ya uwazi, na kwamba Zitto ana haki ya kuwaeleza wapiga kura wake ambao pengine hawakubaliani na swala la hii walk out kwamba yeye yuko nao.

Ni swala tete, ila CHADEMA watajionyesha wana demokrasia zaidi kwa kutochukua hatua yoyote dhidi ya hawa wakina Zitto. Wakichukua hatua wataonekana ni kama CCM tu, wanataka kulazimishana maswala na hawawezi kuachia mawazo tofauti.

Ningekuwa mimi Zitto nisingeweza kuongea na vyombo vya habari bila sababu nzuri.
 
Kwa hiyo tuseme Zitto ana wenge? Au na yeye hakuisoma vizuri katiba? Kwanini anawachanganya watu vichwa kwa kusema hakubaliani na matokeo huku anapinga kutoka nje ya bunge?

Kwa maoni yangu huyu jamaa anaijua vizuri katiba, anafahamu kanuni za bunge, anafahamu kuwa kutokumsikiliza rais hakuna kipengele walichokosea. Ila nahisi anatumiwa na CCM kutaka kuleta mgawanyiko.

Mbaya zaidi anapenyeza mambo ya udini. Hivi ni waislamu tu ndiyo wameona kuna udini? Nchi hii itafikia watu watachaguliwa kutokana na dini zao, kutokana na tabia ya waislamu kupenyeza mambo ya udini.

Napenda kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kumdiscipline zito kwa kauli zake, bila kuogopa chochote, katika chama kinachojali democrasia kuchukua hatua ni jambo la kawaida bila kujali nafasi aliyonayo ndani ya chama.

Zitto anataka kupoteza umaarufu alioupata kupitia chama.

Usiwe kichwa cha kuku, umesahau mijadala iliyokuwa ikiwasilishwa jf kumhusu jk kwamba ni mdini eti kwa sababu anataka fairness kwa watanzania wote nanyi mkamtafsiri mdini. Kwa taarifa yako, Zitto yupo kupeleka taarifa ccm na atafanya hivyo mpaka watakapo amua kumuondoa ndani ya chama. by the way tegemea maajabu ya yeye kupewa uwaziri japo ni kutoka chama pinzani. upo kijana!!!!!!!!!!!!!!
 
Wabunge wengine kama Zitto ni watu wanafiki kabisa, haeleweki na hayuko pale kwa chama yeye ni mbinafsi sana anasaidia CCM. kama vipi Zitto jitoe chadema usishike wabunge wengine miguu.

napata shida sana kufahamu jf ni kwa ajili ya thinkers au chadema????? maana hakuna mijadala yenye side mbili, ni upande mmoja na hakuna anayeleta changamoto ili wadau wakune vichwa, nahisi kama nimekosea kujiunge humu, anyway nitajitahidi kwenda hivyohivyo!!!!!!!!!! Ili kiuharisia, wabunge watovu wa nidhamu kwa rais wa nchi aliyechaguliwa na wananchi watapata adhabu ipasayo. tutege masikio. wenye akili walisepa kabla kama zitto ila washabiki na wenye mambo kama wapo shuleni au chuoni wameingia kichwakichwa..........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom