Moto wa vifuu una moshi mkali sana

Al_mekhboub

Member
Nov 16, 2010
24
5
Hawa NJAADEMA wananikumbusha NCCR-MAGEUZI na lyatonga miaka ya tisini. Halafu ukiangalia kwa makini utakuta wale ambao waliokuwa NCCR-MAGEUZI miaka ile ndiyo wale wale wamekuwa NJAADEMA leo hii.

Moto wa kifuu ni moshi mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom