Pia wanatoka Chadema kurudi CCM. Mmoja tu aliwahi kutoka Chadema kuhamia CUF. Je hii inaonesha daraja za vyama vya siasa? Kama ndivyo, wakitoka NCCR watakwenda wapi?
Pia wanatoka Chadema kurudi CCM. Mmoja tu aliwahi kutoka Chadema kuhamia CUF. Je hii inaonesha daraja za vyama vya siasa? Kama ndivyo, wakitoka NCCR watakwenda wapi?
Na wanahamia Chadema kutoka Cuf; mf.Rwakatare, etc
Na wanahamia Chadema kutoka NCCR; mf.Marando,Selasini, Komu, Marehemu Wangwe, etc
Hatutazijua sababu halisi za kuhama kama tutaendekeza ushabiki wa vyama humu JF.Laiti kama tungelitafiti suala hili (kuhama vyama) tungeliweza kulielewa vizuri. Bahati mbaya wanaohama wanasindikizwa kwa matusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.