CCM isimwage petrol kwenye moto unaowaka!!!!

Nuru John

Member
Joined
Aug 26, 2009
Messages
15
Points
0

Nuru John

Member
Joined Aug 26, 2009
15 0
Nduguzanguni mie kama mtanzania mpenda amani ya nchi yangu nilikuwa nawasihi hawa ndugu zetu wanaCCM wasichochee hatari iliyopo mbele yetu katika hili jukwaa la siasa.

CDM wamekwisha walk out infront of the president,sawa,tunajua imewauma sana,sawa,JE KUANZA KUSEMA KUWA WABUNGE WA CHADEMA WAJITOE BUNGENI NDIO SULUHISHO LA TATIZO AU NDIO WANATAKA KUZIDISHA MOTO MKALI ZAIDI UENDELEE KUWAKA???

WANATAKA KUWATOA WABUNGE WA CHADEMA KWA SHERIA NA KANUNI IPI??

WAKISAMBAZA HIYO CHUKI INAYOSEMEKANA KWA WANANCHI NA CHADEMA NAO WAKAPITA NA WAO WAKASEMA UKWELI WALIONAO NA KUTOA USHAHIDI,WANAUHAKIKA GANI KAMA WANANCHI WATAWAKUBALI WAO KULIKO CHADEMA??

NAWASHAURI WALITAFAKARI HILI JAMBO KWA UMAKINI NA UZITO WAKE ISIJE IKALA KWAO KWANI NAWAONEA HURUMA WASIJE HIYO DHAMIRA YAO IKAWATESA KUJISAFISHA TENA KAMA ILIVYOTOKEA KWENYE ISSUE YA UFISADI NA ILE ISSUE YA WAFANYAKAZI WA SERIKALI.
WAWE MAKINI HAWAJUI EXACTLY WANANCHI KIASI GANI WAKO NYUMA YA CDM.
 
Rafikikabisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Messages
252
Points
225

Rafikikabisa

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2009
252 225
Watanzania wako makini sana, CCM kama itafanya move yeyote watajimaliza wenyewe. Lakini wanasema sikio lakufa...... hivyo hawajui kwamba mwaka huu walikataliwa kwa sababu ya mijadala mbali mbali ya kuwaamusha watanzania. Leo hii mijadala ya kisiasa ikiendelea watanzania miaka mitano ijayo tutakuwa kama kenya hivi na hilo litakuwa anguko la CCM.

Jana katika pita pita yangu mitaani nilisikia pongezi kila ukigusia suala hili. Hivyo kuna haja CCM kulimaliza mapema kuliko kuliendeleza. Lazima CCM wajue watanzania wamepoteza imani nao na wachukue hatua za kurekebisha mambo mbali mbali badala ya kuacha siasa za marumbano.

Kama CCM hawatajifunza yaliyotokea nyuma waendelee na mijadala hii.
 
Watchman

Member
Joined
Nov 21, 2010
Messages
25
Points
45

Watchman

Member
Joined Nov 21, 2010
25 45
Nduguzanguni mie kama mtanzania mpenda amani ya nchi yangu nilikuwa nawasihi hawa ndugu zetu wanaCCM wasichochee hatari iliyopo mbele yetu katika hili jukwaa la siasa.

CDM wamekwisha walk out infront of the president,sawa,tunajua imewauma sana,sawa,JE KUANZA KUSEMA KUWA WABUNGE WA CHADEMA WAJITOE BUNGENI NDIO SULUHISHO LA TATIZO AU NDIO WANATAKA KUZIDISHA MOTO MKALI ZAIDI UENDELEE KUWAKA???

WANATAKA KUWATOA WABUNGE WA CHADEMA KWA SHERIA NA KANUNI IPI??

WAKISAMBAZA HIYO CHUKI INAYOSEMEKANA KWA WANANCHI NA CHADEMA NAO WAKAPITA NA WAO WAKASEMA UKWELI WALIONAO NA KUTOA USHAHIDI,WANAUHAKIKA GANI KAMA WANANCHI WATAWAKUBALI WAO KULIKO CHADEMA??

NAWASHAURI WALITAFAKARI HILI JAMBO KWA UMAKINI NA UZITO WAKE ISIJE IKALA KWAO KWANI NAWAONEA HURUMA WASIJE HIYO DHAMIRA YAO IKAWATESA KUJISAFISHA TENA KAMA ILIVYOTOKEA KWENYE ISSUE YA UFISADI NA ILE ISSUE YA WAFANYAKAZI WA SERIKALI.
WAWE MAKINI HAWAJUI EXACTLY WANANCHI KIASI GANI WAKO NYUMA YA CDM.
ccm ni sikio lisilosikia dawa haliponi kamwe. Tena wamshuru aliyewaonya wasiandamane kuipinga CDM kwa kitendo cha uzalendo walichoonyesha bungeni. CDM bungeni daima lasivyo hakuna bunge.
 
Mo-TOWN

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,728
Points
1,250

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,728 1,250
Naafiki mawazo yako. Tatizo la CCM ni kutowasikia wananchi na kuwaza kuwa wanachotaka au kusema ndicho wananchi wanataka. Bado CCM imetawaliwa na ile biashara ya zamani ilyompelekea JK kupata 60% za kuadjust toka 80% mwaka 2005.

Ukweli ni kuwa by design and the likes of watu wa kujikomba km Chiligati ni vigumu sana kwa CCM kijirudi. Kilichobaki kwa vile CCM inajua vizuri tu kua haikubaliki kihivyo ni kutumia nguvu za dola na taasisi kama NEC,REDET ili kuonyesha kuwa CCM na serikali zikubalika. Nadhani mlimskia vizuri Chiligati akizungumzia kushawishi Bunge kufanya maamuzi ya kuwatenga CDM. Jingine ni viongozi waliotaka kuchemka kwa kuandaa maandamano ili hali hakuna wanachama wa CCM waliokuja na ilo wazo.
 
Forum statistics

Threads 1,389,009
Members 527,837
Posts 34,015,595
Top