wanajamii,
Nimepata dondoo kuwa kesho star katika kipindi chao cha TUONGEE ASUBUHI wana mada iliyo moto, na wiki iliyopita walisema watairusha mapeeeema ili kutoa fursa kwa watazamaji na...
Akihutubia ktk ufungunzi na mahafali ya chuo cha Udom Rais Jakaya M.Kikweta amewashauri wanafunzi wa vyuo wajikite zaidi kwenye masomo badala kujiingiza kwenye mambo ya siasa,hasa kutumiwa na...
Ukizingatia yaliyotokea Zanzibar baada ya Uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, na ukiangalia performance ya CUF kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa TZ-Bara...
SEVERAL top prisons officials have allegedly squandered 5bn/- allocated by the government for the implementation of four irrigation projects in support of the 'Kilimo Kwanza' initiative, sources...
Wote tunafahamu yakwamba kwa sasa Zanzibar ni Nchi kamili inayojitegemea hii ni baada yakufanya Mabadiliko Makubwa katika Katiba yao.
Pia kuna Wabunge wengi sana wanaotoka Zanzibar ili kuunda...
Je hii ni Vita mpya inayokuja:
Pombe + Mwakyembe against RA through Estim Construction Ltd:
Why JK amemtua Pombe na Mwakyembe kwa ajili ya kumpiga vita RA as kampuni yake ya Estim ndio...
Madaraka ya Sohia Simba
1. Mwenyekiti wa CCM - Umoja Wa Wanawake - UWT
2. Mbunge wa Kuteuliwa-- UWT
3. Mbunge wa Kuteuliwa-- SADC
4. Waziri wa Ustawi Wa Jamii, Jinsia na Watoto
5. Mjumbe wa...
It is not about who was chosen, not about gender, education, age, religion or whatever criteria Bwana Mkubwa used to hand pick the A-Team to help him deliver the Maisha Bora kwa kila Mtanzania...
Mzee Mwinyi alianzisha sera ya RUKHUSA, sera hii ililenga kupunguza ukasi wa maisha kwa Watanzania,na pia alituonya kuwa 'ukifungua dirisha inzi pia huingia' pamoja na mabadiliko yaliyotokea...
Hili la waziri mkuu kutaka kuanzisha kituo cha kulelea albino arusha mji hatari wenye wachimba madini watoa kafara je hao watoto watapona kweli au ni ile anzisha kiwanda penye urahisi wa kupata...
1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali...
According to Nipashe, Jana Mpendazoe alikamatwa na gari alilokuwa akiliendesha kwa kigezo kwamba liliripotiwa limeibiwa tangia June mwaka jana. Mpendazoe alisema kwamba hilo ni gari lake halali na...
JK, JK, pokea ushauri/mapendekezo yangu najua hutaki kusikiliza, fanya haya plse kama
unataka maendeleo ya kweli, sijakupa kura yangu, but muda huu election campaign
is over, ni kushauriana...
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
2) Mwenye wivu ajinyonge
3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
Jakaya, hiyo...
Wanajamii nimeshtuka leo gazeti la mtanzania limemkariri waziri mteule nyarandu akidai atapigana kuhakikisha anatokomeza nyumba za tembe,sio hawahawa waliokuwa wanambeza dr slaa?kweli ccm...
Kutokana na matokeo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa majiji ya Tanzania yamekombolewa na CHADEMA majiji hayo ni
Mwanza City (Nyamagana) Ezekiel Wenje
Arusha Godbless Lema
Mbeya Joseph Mbilinyi...
Naamini wapo watakaoona nakiandama Chadema lakini ninayayazungumza humu wakiyachukulia kama changamoto yatawasaidia sana kujenga chama kikawa cha "demokrasia" na maendeleo kwa muonekano chanya...
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea...