VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,364
According to Nipashe, Jana Mpendazoe alikamatwa na gari alilokuwa akiliendesha kwa kigezo kwamba liliripotiwa limeibiwa tangia June mwaka jana. Mpendazoe alisema kwamba hilo ni gari lake halali na alitaka wamwambie ni la nani... Baada ya kupelekeshana kituoni walimwachia...... Mpendazoe anasema huenda hizi ni mbinu wanazotumia baada ya yeye kufungua kesi mahakamani kuhusu ubunge
My Take
Haya mambo ndio yanayowatisha wengi kwenda upinzani.
My Take
Haya mambo ndio yanayowatisha wengi kwenda upinzani.