CCM kutekeleza sera ya Chadema kuhusu nyumba za "Tembe"?

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Wanajamii nimeshtuka leo gazeti la mtanzania limemkariri waziri mteule nyarandu akidai atapigana kuhakikisha anatokomeza nyumba za tembe,sio hawahawa waliokuwa wanambeza dr slaa?kweli ccm wamefikia uko wa fikiri kilichobaki ni kutekeleza maagizo ya dr wa ukweli mpaka 2015 tuwatupilie mbali...pipooooz pawaaaaaa!
 
wataiga sana. CDM ni kama mwanafunzi mkali darasani kwa hiyo wale vilaza lazima wapige chabo
 
Hata university of Dodoma ni Sera ya CHADEMA kugeuza Dodoma jiji la vyuo vikuu ili kuujengea hadhi ya makao makuu ya nchi iliyoimbwa na freeman alipokuwa anagombea urais 2005. Sisiemu walishafikia ukomo wa kufikiri. They will be watching for ideas from other parties.
 
Wanajamii nimeshtuka leo gazeti la mtanzania limemkariri waziri mteule nyarandu akidai atapigana kuhakikisha anatokomeza nyumba za tembe,sio hawahawa waliokuwa wanambeza dr slaa?kweli ccm wamefikia uko wa fikiri kilichobaki ni kutekeleza maagizo ya dr wa ukweli mpaka 2015 tuwatupilie mbali...pipooooz pawaaaaaa!

??? Dr. wa ukweli? chuo gani hicho alichopatia shahada ya Phd?
 
Ha ha haaaaaa ni Dr. wa kupora wake za watu bana. Jamaa wanawake wote hawa wamejaa anamfuata mke wa mtu halafu eti Padri, kweli siku ya hukumu adhabu yao wataiona.
 
UDOM wamesema wanamtunukia JK Shahada ya burebure ya PhD kwahiyo atakuwa na shahada mbili za bure na ile ya kachuo ka Uturuki. We chuo hakijaanza kutoa PhD za darasani kinaanza kutoa za bure.
 
Think Twice.,. Soma comment uelewe ndio uchangie sio unakurubuka kama ngiri anayetoka ndani ya shimo... Jina unalotumia hufanani nalo..yaaani full uozo..
 
UDOM wamesema wanamtunukia JK Shahada ya burebure ya PhD kwahiyo atakuwa na shahada mbili za bure na ile ya kachuo ka Uturuki. We chuo hakijaanza kutoa PhD za darasani kinaanza kutoa za bure.

Popiexo ina maana kwa sasa ni kama Associate Proffesa na Baada ya miaka miwili tunamtunuku Uproffesa kamili
 
Ha ha haaaaaa ni Dr. wa kupora wake za watu bana. Jamaa wanawake wote hawa wamejaa anamfuata mke wa mtu halafu eti Padri, kweli siku ya hukumu adhabu yao wataiona.

You need to think twice before you uttered what you uttered here! Shame to you
 
Ha ha haaaaaa ni Dr. wa kupora wake za watu bana. Jamaa wanawake wote hawa wamejaa anamfuata mke wa mtu halafu eti Padri, kweli siku ya hukumu adhabu yao wataiona.

majitu mengine bwana ushuzi tuu! akili hamnazo!
 
Wanajamii nimeshtuka leo gazeti la mtanzania limemkariri waziri mteule nyarandu akidai atapigana kuhakikisha anatokomeza nyumba za tembe,sio hawahawa waliokuwa wanambeza dr slaa?kweli ccm wamefikia uko wa fikiri kilichobaki ni kutekeleza maagizo ya dr wa ukweli mpaka 2015 tuwatupilie mbali...pipooooz pawaaaaaa!

CHADEMA is a think tank. CCM ile "Law of diminishing returns" ilishaanza kuapply muda mrefu.
 
Ha ha haaaaaa ni Dr. wa kupora wake za watu bana. Jamaa wanawake wote hawa wamejaa anamfuata mke wa mtu halafu eti Padri, kweli siku ya hukumu adhabu yao wataiona.

Ubongo wako utakuwa una mafunza maana si bure...au ndo mambo ya mwezi mchanga. hoooooooofyo!
 
Ha ha haaaaaa ni Dr. wa kupora wake za watu bana. Jamaa wanawake wote hawa wamejaa anamfuata mke wa mtu halafu eti Padri, kweli siku ya hukumu adhabu yao wataiona.

We unaonyesha una jambo lako binafsi na Dr. Slaa-umekiita Chadema chama cha kidini, kikabila na wanatoa upendeleo kwa wenyewe. Ni upeo wako mdogo au upo hapa kidini na kikabila?
 
don play with CDM brains...to them everything is possible and surely can be done....
 
Yaani leo nilipomuangalia jk akijisifu kutekeleza wazo la cdm la kujenga chuo kikuu dodoma nilifurahi sana,hv jamani jk badala ya kutekeleza ilani ya ccm anakimbizana na za cdm....go cdm go slaa goooo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom