On TBC1: Wachambuzi kuipitia speech ya JK

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Kwa wale mlio Tanzania na wale wenye access na TBC1 jaribu kuangalia saa 3 usiku huu ambapo baadhi ya members wa JF watakuwepo.
 
kwa kweli Simbeye kaendesha kipiindi vizuri sana.. walikuwepo Kitila mkumbo, Ester Mkwizu, Dr Safari na mwingine mmoja.

Kwa kweli Simbeye refa mzuri.. hajaegemea upande wowote.. mojawapo ya hoja iliyonifurahisha ni pale wachambuzi waliposema inabidi kwenda zaidi na kujadili kwa nini CHADEMA walitoka nje wakati mh,. rais anaanza kutoa hotuba.

Aidha wameongelea suala la uanzishaji wa vyuo vikuu katika kila kanda.. nimesikia mchambuzi mmoja akipendekeza kuwa badala ya kutawanya raslimali chache tulizo nazo ingekuwa ni vema tuboreshe vyuo viilivyopo ili vitoe elimu bora badala ya bora elimu..
 
Back
Top Bottom