Elections 2010 Wasaidieni chadema kwa hili la upotoshwaji wa hoja yao na propaganda

Chief Isike

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
445
462
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea nchini, ambapo kwa kweli CHADEMA wanaonekana kuwa at the centre...

Uamuzi wao wa kunyanyuka vitini na kuondoka ndani ya ukumbi wa bunge wakati 'muungwana' akianza kuhutubia umepeleka 'shock' kwa watawala wenye mawazo mgando, lakini kwa baadhi tunauona kuwa ni dalili ya kujua nini cha kufanya katika wakati gani kwa ajili ya nini...maturity ya juu katika demokrasia yetu ambayo kwa kweli bado iko kitandani (lakini sijui kama i macho au imelala fofofo kama si pono au kiasi)

Lakini kwa makusudi au kwa kutokujua...hoja yao imepotoshwa, tena hata wao wasipoangalia hoja yao itapotoshwa kweli kweli na uongo ukisemwa mara kwa mara huonekana ukweli, la sivyo itawagharimu nguvu kubwa mno kuja kusawazisha hali ya mambo.

Wao wanasema kwa mujibu wa katiba (mbovu by the way) na sheria tulizo nazo mpaka sasa nchini, hawana budi kumkubali Rais Kikwete kuwa ni rais wa nchi,

HOJA YAO...PAMOJA NA KUMTAMBUA KIKWETE kwa mujibu wa katiba kama rais, HAWAKUBALIANI NA MCHAKATO ULIOMWEKA MADARAKANI...KURA ZILIZOMPATIA USHINDI ZILICHAKACHULIWA, ndiyo maana wanahitaji tume huru ya uchunguzi kuangalia what exactly transpired during the last general election.

Lakini ili kuokoa zahama siku za usoni pia wanawakilisha watu wengi kwa kudai NEC mpya kabla ya uchaguzi mkuu ujao na Katiba mpya, na hili la NEC ni muhimu sana maana kila mwenye akili zake timamu anaiona hatari ya uchaguzi wowote nchini kuendelea kusimamiwa na NEC iliyopo sasa...na wanasema haidhuru iwapo basi walau mchakato wa katiba mpya uwe umeanza kama si kukamilika kabisa, ifikapo 2015.

Supporting argument yao, ni kuwa wapo marais au watawala kibao ambao walitumia njia haramu kuingia madarakani lakini waliposhika dola wananchi wao hawakuwa na budi kuwatmbua maana tayari ndiyo wanaoshikilia dola...CHADEMA wameamua kuwasilisha ujumbe wao wa UBOVU WA MFUMO WA UCHAGUZI na kudai madai mazito na muhimu kwa njia very democratic ambapo katika nchi nyingine ni mpaka amani inavunjika (siku zote pale ambapo haki inaminywa, ni kudanganyana tu kusema kuwa amani itakuwepo)

Lakini ukifuatilia coverage ya media zetu tangu pale 'Rais' Slaa alipozungumza na waandishi wa habari pale Dom akiwa flanked na Mwenyekiti wake Mbowe, hoja kuu imepotoshwa na ikazidi kupotoshwa walipoamua ku-walk out wakati JK anaanza kuhutubia...hoja yao imekuwa diminished if not weaken to the extent that eti HAWAMTAMBU RAIS na kuwa WAMESUSIA BUNGE, WAMEVUNJA SHERIA NA KANUNI (hazisemwi), WAMEASI, WATAVURUGA AMANI AND ALL THAT KIND OF BULLSHITS POINTS...

Zipo media na waandishi (ofcourse na baadhi ya viongozi wao wenyewe CHADEMA pia) ambao wameamua makusudi (wengine wanafanya kwa kutokuelewa hoja) kuupotosha umma kwa kuipotosha hoja hiyo, ili waonekane kuwa hawajui walichokifanya, tena wanafanya mambo ambayo Watanzania wapiga kura wao hawakuwatuma, wakorofi, wasumbufu n.k.

NANI MWENYE AKILI TIMAMU, BILA KUJALI 'maboksi' ya vyama, ukabila, udini, urangi, unufaikaji wa ufisadi na maboksi mengine mengi ANAWEZA KUPINDA MADAI YA CHADEMA...It is a coarse for change, help them as patriotic Tanzania, wakitokea wengine wenye mawazo kama yao, pia tuwaunge mkono, Tanzania kwanza, here we go. SAMAHANI kwa kuwasilisha kwa kirefu namna hiyo, though i wish to go on and elaborate more...
 
mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Tusaidiane kuelewesha wananchi kila wasaa upatikanapo,TAnzania itajengwa na sisi wenyewe
 
Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
308
Nilichukia sana juzi Times FM walikuwa napotosha hili tendo kwa makusudi kabisa. Kama hawakujua mantiki ya CHADEMA wangekaa kimya sio kutangaza pumba zao!
 
Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,237
318
Wanaopotosha wanajua wanachokifanya na hawataki kuwapa fursa Watanzania kuelewa ukweli nje na ndani. Hamshangai Jk alipozungumzia mgogoro wa kidini Tanzania. huo mgogoro aliusoma vitabuni au upo hapa hapa Tanzania? Mpotoshaji mkuu ni mkuu wa nchi (aliyechaguliwa na NEC). Kama walivyonunua media wakati wa kampeni kuibeba CCM wanaendelea kuwanunua wasomi uchwara na media uchwara kuanzisha chokochoko Chadema. Vitu vingi ambavyo vinasemwa kwamba vimesemwa na viongozi wa Chadema wala havipo Chadema ipo kwenye media.
 
DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
57
Kaka kwa mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi hii tendo walilofanya wabunge wa chadema wanalipa 100% ni jambo la kishujaa tunawapongeza wote kwa ujumla wao kwa tarifa yenu wakati tukio hilo linatokea mimi nilikuwa pale mlimani city watu wote walishangilia zaidi ya jinsi walivyokuwa wakishangilia kwa mavuvuzela world cup. Ni kweli kama kawaida baadhi ya media ni vibaraka kwa ajili ya kulinda maslahi ya wamiliki, au kwa sababu kikwete ameingia ikulu kwa uchakachuaji wanaogopa kwa sababu bado ana nguvu ya katiba kumchakachua yeyote kama kawaida, ila nina imani hawezi kumchakachua kubeanea team na ulimwengu team-wataendeleza mampano kwa uwazi kwa lugha rahisi na kwa utafiti. Chadema ni chama makini kina watu makini wabovu watang'oka wenyewe na hututa hangaika kuwaongelea wanaoondoka focus yetu ni ukombozi, mwisho nakubali tuuelimishe umma na inawezekana tumuunge mkono kiongozi wetu dr slaa bila kulala bila kudanganyika daima tusonge mbele kwa taarifa yako mimi ni member wa blogs 100 za watanzania moto unatembea na vita ni kubwa pamoja tutashinda
 
Tanzania

Senior Member
Jun 6, 2008
115
5
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea nchini, ambapo kwa kweli CHADEMA wanaonekana kuwa at the centre...

Uamuzi wao wa kunyanyuka vitini na kuondoka ndani ya ukumbi wa bunge wakati 'muungwana' akianza kuhutubia umepeleka 'shock' kwa watawala wenye mawazo mgando, lakini kwa baadhi tunauona kuwa ni dalili ya kujua nini cha kufanya katika wakati gani kwa ajili ya nini...maturity ya juu katika demokrasia yetu ambayo kwa kweli bado iko kitandani (lakini sijui kama i macho au imelala fofofo kama si pono au kiasi)

Lakini kwa makusudi au kwa kutokujua...hoja yao imepotoshwa, tena hata wao wasipoangalia hoja yao itapotoshwa kweli kweli na uongo ukisemwa mara kwa mara huonekana ukweli, la sivyo itawagharimu nguvu kubwa mno kuja kusawazisha hali ya mambo.

Wao wanasema kwa mujibu wa katiba (mbovu by the way) na sheria tulizo nazo mpaka sasa nchini, hawana budi kumkubali Rais Kikwete kuwa ni rais wa nchi,

HOJA YAO...PAMOJA NA KUMTAMBUA KIKWETE kwa mujibu wa katiba kama rais, HAWAKUBALIANI NA MCHAKATO ULIOMWEKA MADARAKANI...KURA ZILIZOMPATIA USHINDI ZILICHAKACHULIWA, ndiyo maana wanahitaji tume huru ya uchunguzi kuangalia what exactly transpired during the last general election.

Lakini ili kuokoa zahama siku za usoni pia wanawakilisha watu wengi kwa kudai NEC mpya kabla ya uchaguzi mkuu ujao na Katiba mpya, na hili la NEC ni muhimu sana maana kila mwenye akili zake timamu anaiona hatari ya uchaguzi wowote nchini kuendelea kusimamiwa na NEC iliyopo sasa...na wanasema haidhuru iwapo basi walau mchakato wa katiba mpya uwe umeanza kama si kukamilika kabisa, ifikapo 2015.

Supporting argument yao, ni kuwa wapo marais au watawala kibao ambao walitumia njia haramu kuingia madarakani lakini waliposhika dola wananchi wao hawakuwa na budi kuwatmbua maana tayari ndiyo wanaoshikilia dola...CHADEMA wameamua kuwasilisha ujumbe wao wa UBOVU WA MFUMO WA UCHAGUZI na kudai madai mazito na muhimu kwa njia very democratic ambapo katika nchi nyingine ni mpaka amani inavunjika (siku zote pale ambapo haki inaminywa, ni kudanganyana tu kusema kuwa amani itakuwepo)

Lakini ukifuatilia coverage ya media zetu tangu pale 'Rais' Slaa alipozungumza na waandishi wa habari pale Dom akiwa flanked na Mwenyekiti wake Mbowe, hoja kuu imepotoshwa na ikazidi kupotoshwa walipoamua ku-walk out wakati JK anaanza kuhutubia...hoja yao imekuwa diminished if not weaken to the extent that eti HAWAMTAMBU RAIS na kuwa WAMESUSIA BUNGE, WAMEVUNJA SHERIA NA KANUNI (hazisemwi), WAMEASI, WATAVURUGA AMANI AND ALL THAT KIND OF BULLSHITS POINTS...

Zipo media na waandishi (ofcourse na baadhi ya viongozi wao wenyewe CHADEMA pia) ambao wameamua makusudi (wengine wanafanya kwa kutokuelewa hoja) kuupotosha umma kwa kuipotosha hoja hiyo, ili waonekane kuwa hawajui walichokifanya, tena wanafanya mambo ambayo Watanzania wapiga kura wao hawakuwatuma, wakorofi, wasumbufu n.k.

NANI MWENYE AKILI TIMAMU, BILA KUJALI 'maboksi' ya vyama, ukabila, udini, urangi, unufaikaji wa ufisadi na maboksi mengine mengi ANAWEZA KUPINDA MADAI YA CHADEMA...It is a coarse for change, help them as patriotic Tanzania, wakitokea wengine wenye mawazo kama yao, pia tuwaunge mkono, Tanzania kwanza, here we go. SAMAHANI kwa kuwasilisha kwa kirefu namna hiyo, though i wish to go on and elaborate more...

Excellent observation. How Can This Article Go To The Media?
 
tumpale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
200
35
excellent brother wewe ni mzalendo wa kweli, sio kila mtu anaweza kulitambua hilo, media yetu imebakia jina tu hata wao wanajua. wameandaliwa kupotosha umma ili kuchumia tumbo, ukuu wa wilaya na matatizo ya rejareja ndo vinavyowatesa. kwa pamoja tutaweza tuendelee kuelimisha watanzania dr slaa ameanza let us support him.
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
10,989
12,503
Tatizo la wabunge wa CHADEMA na wafuasi wake ni kuwa hawakufanya tathimini ya kina kabla ya kuchukua hatua hiyo ya kususia hotuba ya JK. CHADEMA, sasa ndio mnafahamu kuwa 'culture' yetu watanzania ni kuheshimu mamlaka na siyo vinginevyo. Vyombo vya habari siyo kwamba vinapotosha hali iliyopo bali ni kweli kuwa vinachambua hali iliyopo nchini kwa sasa.

NMi ujanja wa kitoto kwa CHADEMA kusema kuwa wanamtambua JK isipokuwa ambacho hawatambui ni matokeo yaliyomuweka JK madarakani. Huu ni ujanja wa kucheza na maneno - 'semantics.

Kitendo walichofanya wabunge wa CHADEMA cha kususia speech ya JK bungeni ni cha kijinga na uhuni mtupu. Huwezi mtu ukaamua kuvua nguo hadharani halafu udai kuwa eti 'unawasilisha ujumbe' au eti 'message sent'.

Mtu na akili zako unaamua kuweka kinyesi chako barabarani tena huku watu wakishuhudia eti kwa madai kuwa unataka 'kufikisha ujumbe' kwa wahusika. Kwani ujumbe huo unaofikisha kwa wahusika tuseme labda ni Jiji ni lazima uweke kinyasi chako barabarani? Kwani hakuna njia nyingine za kutumia kfikisha ujumbe wako?

Kwa kususia speech ya JK CHADEMA wamevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa kibara ya 62 ya katiba yetu. Ndio maana azimio la kuwang'oa wabunge wa CHADEMA litawasilishwa kwenye bvunge lijalo.

Tunataka tuone baada ya wabunge hao kung'olewa bungeni CHADEMA watafanya nini. Wao wanadai eti kuna 'PEOPLE'S POWER, Tutaona kwani hiyo PEOPLE'S POWER inaweza kugeuka dhidi yao.

CHADEMA wanalilia atiba mpya, sawa. Hapana shaka Tanzania tunahitaji katiba mpya. Lakini CHADEMA kwanza waanze na katiba ya kwao ambayo ni ya kidikteta. Huhitaji kugundua kuwa katiba ya CHADEMA ni ya kidikteta. Wewe angalia tu namna wanachama wake maarufu wanavyoachia ngazi. Mwenyekiti wao wa Mbeya aliachia juzi na sasa Mwenyekiti wa Baraza lao la Wanawake naye ameachia. Tunao uhakika wabunge wapatao sita wataachia ngazi tayari kwa uchaguzi mdogo ambapo watagombea kwa tiketi ya vyama vingine iwe ni NCCR, CUF au CCM.
 
Mombo Wetu

JF-Expert Member
Aug 5, 2008
377
35
Tunao uhakika wabunge wapatao sita wataachia ngazi tayari kwa uchaguzi mdogo ambapo watagombea kwa tiketi ya vyama vingine iwe ni NCCR, CUF au CCM.

Kipi bora, wabaki CDM huku mioyo yao ikiwa huko kwingine au bora wawahi mapema na wenye moyo waendelee kuimarisha chama? Itakuwaheri sana wakiondoko ASAP!
 
msafiri.razaro

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,230
708
Tatizo la wabunge wa CHADEMA na wafuasi wake ni kuwa hawakufanya tathimini ya kina kabla ya kuchukua hatua hiyo ya kususia hotuba ya JK. CHADEMA, sasa ndio mnafahamu kuwa 'culture' yetu watanzania ni kuheshimu mamlaka na siyo vinginevyo. Vyombo vya habari siyo kwamba vinapotosha hali iliyopo bali ni kweli kuwa vinachambua hali iliyopo nchini kwa sasa.

NMi ujanja wa kitoto kwa CHADEMA kusema kuwa wanamtambua JK isipokuwa ambacho hawatambui ni matokeo yaliyomuweka JK madarakani. Huu ni ujanja wa kucheza na maneno - 'semantics.

Kitendo walichofanya wabunge wa CHADEMA cha kususia speech ya JK bungeni ni cha kijinga na uhuni mtupu. Huwezi mtu ukaamua kuvua nguo hadharani halafu udai kuwa eti 'unawasilisha ujumbe' au eti 'message sent'.

Mtu na akili zako unaamua kuweka kinyesi chako barabarani tena huku watu wakishuhudia eti kwa madai kuwa unataka 'kufikisha ujumbe' kwa wahusika. Kwani ujumbe huo unaofikisha kwa wahusika tuseme labda ni Jiji ni lazima uweke kinyasi chako barabarani? Kwani hakuna njia nyingine za kutumia kfikisha ujumbe wako?

Kwa kususia speech ya JK CHADEMA wamevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa kibara ya 62 ya katiba yetu. Ndio maana azimio la kuwang'oa wabunge wa CHADEMA litawasilishwa kwenye bvunge lijalo.

Tunataka tuone baada ya wabunge hao kung'olewa bungeni CHADEMA watafanya nini. Wao wanadai eti kuna 'PEOPLE'S POWER, Tutaona kwani hiyo PEOPLE'S POWER inaweza kugeuka dhidi yao.

CHADEMA wanalilia atiba mpya, sawa. Hapana shaka Tanzania tunahitaji katiba mpya. Lakini CHADEMA kwanza waanze na katiba ya kwao ambayo ni ya kidikteta. Huhitaji kugundua kuwa katiba ya CHADEMA ni ya kidikteta. Wewe angalia tu namna wanachama wake maarufu wanavyoachia ngazi. Mwenyekiti wao wa Mbeya aliachia juzi na sasa Mwenyekiti wa Baraza lao la Wanawake naye ameachia. Tunao uhakika wabunge wapatao sita wataachia ngazi tayari kwa uchaguzi mdogo ambapo watagombea kwa tiketi ya vyama vingine iwe ni NCCR, CUF au CCM.

Hasa hilo lilikua ndio kusuiao la CHADEMA kufikisha ujumbe mkali kwa watu kama wewe. Tathimini yako na mtazamo wako mfupi sana, CCM wakitaka kutikisa kibiriti wajaribu kupitisha hilo azimio!!!
 
Kagemro

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
1,432
631
Hasa hilo lilikua ndio kusuiao la CHADEMA kufikisha ujumbe mkali kwa watu kama wewe. Tathimini yako na mtazamo wako mfupi sana, CCM wakitaka kutikisa kibiriti wajaribu kupitisha hilo azimio!!!

Hata mimi natamani wabadili kanuni kama ulivyompango wao sasa,halafu waone itakuaje?wanafikiri watanzania ukimya wetu niwajinga.
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,259
2,130
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea nchini, ambapo kwa kweli CHADEMA wanaonekana kuwa at the centre...

Uamuzi wao wa kunyanyuka vitini na kuondoka ndani ya ukumbi wa bunge wakati 'muungwana' akianza kuhutubia umepeleka 'shock' kwa watawala wenye mawazo mgando, lakini kwa baadhi tunauona kuwa ni dalili ya kujua nini cha kufanya katika wakati gani kwa ajili ya nini...maturity ya juu katika demokrasia yetu ambayo kwa kweli bado iko kitandani (lakini sijui kama i macho au imelala fofofo kama si pono au kiasi)

Lakini kwa makusudi au kwa kutokujua...hoja yao imepotoshwa, tena hata wao wasipoangalia hoja yao itapotoshwa kweli kweli na uongo ukisemwa mara kwa mara huonekana ukweli, la sivyo itawagharimu nguvu kubwa mno kuja kusawazisha hali ya mambo.

Wao wanasema kwa mujibu wa katiba (mbovu by the way) na sheria tulizo nazo mpaka sasa nchini, hawana budi kumkubali Rais Kikwete kuwa ni rais wa nchi,

HOJA YAO...PAMOJA NA KUMTAMBUA KIKWETE kwa mujibu wa katiba kama rais, HAWAKUBALIANI NA MCHAKATO ULIOMWEKA MADARAKANI...KURA ZILIZOMPATIA USHINDI ZILICHAKACHULIWA, ndiyo maana wanahitaji tume huru ya uchunguzi kuangalia what exactly transpired during the last general election.

Lakini ili kuokoa zahama siku za usoni pia wanawakilisha watu wengi kwa kudai NEC mpya kabla ya uchaguzi mkuu ujao na Katiba mpya, na hili la NEC ni muhimu sana maana kila mwenye akili zake timamu anaiona hatari ya uchaguzi wowote nchini kuendelea kusimamiwa na NEC iliyopo sasa...na wanasema haidhuru iwapo basi walau mchakato wa katiba mpya uwe umeanza kama si kukamilika kabisa, ifikapo 2015.

Supporting argument yao, ni kuwa wapo marais au watawala kibao ambao walitumia njia haramu kuingia madarakani lakini waliposhika dola wananchi wao hawakuwa na budi kuwatmbua maana tayari ndiyo wanaoshikilia dola...CHADEMA wameamua kuwasilisha ujumbe wao wa UBOVU WA MFUMO WA UCHAGUZI na kudai madai mazito na muhimu kwa njia very democratic ambapo katika nchi nyingine ni mpaka amani inavunjika (siku zote pale ambapo haki inaminywa, ni kudanganyana tu kusema kuwa amani itakuwepo)

Lakini ukifuatilia coverage ya media zetu tangu pale 'Rais' Slaa alipozungumza na waandishi wa habari pale Dom akiwa flanked na Mwenyekiti wake Mbowe, hoja kuu imepotoshwa na ikazidi kupotoshwa walipoamua ku-walk out wakati JK anaanza kuhutubia...hoja yao imekuwa diminished if not weaken to the extent that eti HAWAMTAMBU RAIS na kuwa WAMESUSIA BUNGE, WAMEVUNJA SHERIA NA KANUNI (hazisemwi), WAMEASI, WATAVURUGA AMANI AND ALL THAT KIND OF BULLSHITS POINTS...

Zipo media na waandishi (ofcourse na baadhi ya viongozi wao wenyewe CHADEMA pia) ambao wameamua makusudi (wengine wanafanya kwa kutokuelewa hoja) kuupotosha umma kwa kuipotosha hoja hiyo, ili waonekane kuwa hawajui walichokifanya, tena wanafanya mambo ambayo Watanzania wapiga kura wao hawakuwatuma, wakorofi, wasumbufu n.k.

NANI MWENYE AKILI TIMAMU, BILA KUJALI 'maboksi' ya vyama, ukabila, udini, urangi, unufaikaji wa ufisadi na maboksi mengine mengi ANAWEZA KUPINDA MADAI YA CHADEMA...It is a coarse for change, help them as patriotic Tanzania, wakitokea wengine wenye mawazo kama yao, pia tuwaunge mkono, Tanzania kwanza, here we go. SAMAHANI kwa kuwasilisha kwa kirefu namna hiyo, though i wish to go on and elaborate more...

1. Kwa upande wa upotoshaji wa hoja - hilo litaendelea kuwepo siku zote na ujue CCM inatumia mtaji wa umaskini na ujinga wa (baadhi ya) Watanzania. Baadhi ya waandishi wa habari wako pro-CCM na wanatumia vyombo vya habari kwa nia ya kulinda maslahi ya CCM zaidi hata pale wanapojua hawawatendei haki Watanzania.
2. Naamini uwongo hauwezi kubadilika kuwa ukweli hataka utarudiwarudiwa. Hoja ya Chadema inaeleweka na mtu yeyote ambaye ana'critical minda' anaielewa ila kuna baadhi wanaopindisha ukweli kwa ajili ya kulinda ajira/maslahi yao lakini naamini wanayodai Chadema yakiwezekana watu hao wanaopotosha ukweli watasema wao ndio wameleta mabadiliko na siyo Chadema.

Unakumbuka jinsi suala la Richmond lilivyoanza? Chadema waliianzisha lakini baadaye CCM walidai wao ndio waliolianzisha wakidhani Watanzania hawana kumbukumbu, wanasahau baada ya muda mfupi.
3. Ingawa rais ametangazwa ndiye kashinda, kulingana na Katiba yetu ndiye rais lakini kama ameingia madarakani kwa uchakachuaji wa kura siyo 'legitimate'. Kuna mwanafalsa mmoja anasema 'bad law is no law at all'. Kwa hiyo, kama kipengele fulani cha Katiba kinatia dosali upatikananji wa haki na kuminya uhuru wa watu, tutaendelea kudai kwa hali na mali hadi hapo itakapoonekana haja ya kubadilisha Katiba, ambayo ina vipengelea vinavyominya haki za Watanzania.
 
FuturePresident

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
321
53
Umefika wakati na wakati wenyewe ni sasa kwa CDM....nao kumiliki Radio na TV.........ya kwao wao wenyewe inawezekana........
 
dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
252
Tatizo la wabunge wa CHADEMA na wafuasi wake ni kuwa hawakufanya tathimini ya kina kabla ya kuchukua hatua hiyo ya kususia hotuba ya JK. CHADEMA, sasa ndio mnafahamu kuwa 'culture' yetu watanzania ni kuheshimu mamlaka na siyo vinginevyo. Vyombo vya habari siyo kwamba vinapotosha hali iliyopo bali ni kweli kuwa vinachambua hali iliyopo nchini kwa sasa.

NMi ujanja wa kitoto kwa CHADEMA kusema kuwa wanamtambua JK isipokuwa ambacho hawatambui ni matokeo yaliyomuweka JK madarakani. Huu ni ujanja wa kucheza na maneno - 'semantics.

Kitendo walichofanya wabunge wa CHADEMA cha kususia speech ya JK bungeni ni cha kijinga na uhuni mtupu. Huwezi mtu ukaamua kuvua nguo hadharani halafu udai kuwa eti 'unawasilisha ujumbe' au eti 'message sent'.

Mtu na akili zako unaamua kuweka kinyesi chako barabarani tena huku watu wakishuhudia eti kwa madai kuwa unataka 'kufikisha ujumbe' kwa wahusika. Kwani ujumbe huo unaofikisha kwa wahusika tuseme labda ni Jiji ni lazima uweke kinyasi chako barabarani? Kwani hakuna njia nyingine za kutumia kfikisha ujumbe wako?

Kwa kususia speech ya JK CHADEMA wamevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa kibara ya 62 ya katiba yetu. Ndio maana azimio la kuwang'oa wabunge wa CHADEMA litawasilishwa kwenye bvunge lijalo.

Tunataka tuone baada ya wabunge hao kung'olewa bungeni CHADEMA watafanya nini. Wao wanadai eti kuna 'PEOPLE'S POWER, Tutaona kwani hiyo PEOPLE'S POWER inaweza kugeuka dhidi yao.

CHADEMA wanalilia atiba mpya, sawa. Hapana shaka Tanzania tunahitaji katiba mpya. Lakini CHADEMA kwanza waanze na katiba ya kwao ambayo ni ya kidikteta. Huhitaji kugundua kuwa katiba ya CHADEMA ni ya kidikteta. Wewe angalia tu namna wanachama wake maarufu wanavyoachia ngazi. Mwenyekiti wao wa Mbeya aliachia juzi na sasa Mwenyekiti wa Baraza lao la Wanawake naye ameachia. Tunao uhakika wabunge wapatao sita wataachia ngazi tayari kwa uchaguzi mdogo ambapo watagombea kwa tiketi ya vyama vingine iwe ni NCCR, CUF au CCM.

CDM wanajua wanachofanya. Let us see kama JK atafanikiwa in 5 years to come. Mtakuja jua uongo wa wapotoshaji uko wapi. Watakaa kimya. CCM hawana jipya. CDM watapita kueleza kwa nini walifanya hivyo. Ngoja waeneze uongo wao. Mbona wamefuta maandamano ya kulaaani CDM. waoga waongo!!
 
khoty

Member
Nov 2, 2010
64
0
1. Kwa upande wa upotoshaji wa hoja - hilo litaendelea kuwepo siku zote na ujue CCM inatumia mtaji wa umaskini na ujinga wa (baadhi ya) Watanzania. Baadhi ya waandishi wa habari wako pro-CCM na wanatumia vyombo vya habari kwa nia ya kulinda maslahi ya CCM zaidi hata pale wanapojua hawawatendei haki Watanzania.
2. Naamini uwongo hauwezi kubadilika kuwa ukweli hataka utarudiwarudiwa. Hoja ya Chadema inaeleweka na mtu yeyote ambaye ana'critical minda' anaielewa ila kuna baadhi wanaopindisha ukweli kwa ajili ya kulinda ajira/maslahi yao lakini naamini wanayodai Chadema yakiwezekana watu hao wanaopotosha ukweli watasema wao ndio wameleta mabadiliko na siyo Chadema.Unakumbuka jinsi suala la Richmond lilivyoanza? Chadema waliianzisha lakini baadaye CCM walidai wao ndio waliolianzisha wakidhani Watanzania hawana kumbukumbu, wanasahau baada ya muda mfupi.
3. Ingawa rais ametangazwa ndiye kashinda, kulingana na Katiba yetu ndiye rais lakini kama ameingia madarakani kwa uchakachuaji wa kura siyo 'legitimate'. Kuna mwanafalsa mmoja anasema 'bad law is no law at all'. Kwa hiyo, kama kipengele fulani cha Katiba kinatia dosali upatikananji wa haki na kuminya uhuru wa watu, tutaendelea kudai kwa hali na mali hadi hapo itakapoonekana haja ya kubadilisha Katiba, ambayo ina vipengelea vinavyominya haki za Watanzania.

scrap
chabema mmeterizi mitandao hasa hiii jamiii foram ndo scraps tupu watu wanafanya tawi la chadema
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
17,869
19,435
b12.JPG

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara mteule ambaye pia ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akizindua mradi wa nyumba zilizojengwa kisasa wakati alipoizindua kampeni ya ujenzi wa nyumba bora kwa wakazi wa jimbo hilo unaojulikana ‘Operesheni Ondoa Tembe' ili kuboresha makazi ya wananchi wake ambao asilimia kubwa wamekuwa wakiishi katika nyumba hizo za asili Source: issamichuzi.blogspot.com
N.B(ANGALIZO)
Wana-JF tusiwe na wasiwasi wameshaanza kutekeleza sera zetu za CHADEMA kumkomboa mtanzania, taratibu somo linaanza kueleweka kwa SISIEMU kuhusu nyumba za TEMBE na muda kidogo KATIBA, ELIMU/AFYA BURE pia zitatekelezwa.

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
63,231
80,668
1. Kama CHADEMA wenyewe hawawezi ku articulate mambo hivi, then kuwachukulia seriously inakuwa kazi.

2. Nugget niliyoipata kutoka kwa mkuu 2MINE hapo juu ni kwamba, CHADEMA wamelazimika kumtambua rais kwa mujibu wa katiba, kwa maana ya kwamba hawana jinsi.

Hoja hii ina upungufu. Unapotaka kuutoa mfumo dhalimu, huwezi kutaka kutumia katiba ya mfumo dhalimu. Rosseau, Ghandi, King na Mkwawa washatuonyesha hili. Inabidi uwe na strategy ya kupata kile wanafizikia wa rocket science wanachokiita "escape velocity'. Roketi haiwezi kupaa kwenda mwezini kwa kuheshimu nguvu za gravity za dunia. Katiba ya CCM ndiyo nguvu za gravity za dunia, inaishika CHADEMA na upinzani usipae kwenda mwezini (kupata majority na ku form government). Sasa kama CHADEMA inataka kushinda, inabidi ije na strategy ya kuishinda hii gravity kwa kuwa na energy level iliyo zaidi ya escape velocity.

Nilichoona kutoka CHADEMA ni kusuasua. Hawatambui matokeo lakini wanamtambua rais. Watu wenye principle washapambana na nguvu za dola zilizo kubwa kuliko serikali ya Tanzania. Mahatma Gandhi kashapambana na Ufalme wa Uingereza kwa kutumia nguvu ya watu tu. Martin Luther King kashapambana na institutional racism in the US. Sasa kama CHADEMA wanataka kuitumia katiba ambayo iko skewed kuwa undermine wao wenyewe (CHADEMA) watakuwa wanacheza.

Mimi nilitegemea uongozi kutoka CHADEMA. Hata kama si kwa kufanya makubwa sana immediately. Wangeamua kuwa na msimamo unaoeleweka, either unakataa matokeo ya uchaguzi na kumkataa rais, kuitisha maandamano nchi nzima kutaka kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi mara moja, au kukubali matokeo na kumkubali rais, na kufanya mambo gradually bungeni na nje ya bunge.

Kwa kuamua kuchanganya mambo, kutotambua matokeo lakini kumtambua rais, CHADEMA wamejionyesha wanataka kufanya mabadiliko lakini hawana courage ya kwenda all the way. Pia hawana busara ya kujua a "Dead End Street" when they see one. Hawana strategy, hawakujua walivyotoka bungeni kitakachofuatia ni nini, walienda kwa kutumaini tumaini kwamba watapata support tu na somehow mambo yata work out. Wakajikuta wanapata backlash kutoka kwa wananchi, ikwabidi wajishaue na kubadili msimamo kama mashati.

Kinachonifariji ni kwamba tuna chama cha upinzani kinachoweza kuongelea haya mambo na kuyapa publicity inayotakiwa. Lakini nasikitika hakuna legal au hata political strategy ya maana.
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,945
8,837
Tusaidiane kuelewesha wananchi kila wasaa upatikanapo,TAnzania itajengwa na sisi wenyewe
BADO NAAMINI kwamba jukumu hilo ni la chadema wenyewe na wana executives wenye uwezo huo

Kitendo cha wao kukaa kimya kinaonyesha mapungufu makubwa na walitakiwa watumie propaganda hiyohiyo inayowahcafua kama avenue ya kusafishika

Pia nashangaa sana kwanini hadi sasa wamekaa kimya kuhusu zitto

CDM should understand that it is not business as usual anymore
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom