JK, Pombe, Mwakyembe VS Rostam Aziz (Estim Construction) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, Pombe, Mwakyembe VS Rostam Aziz (Estim Construction)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chidide, Nov 26, 2010.

 1. c

  chidide Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je hii ni Vita mpya inayokuja:

  Pombe + Mwakyembe against RA through Estim Construction Ltd:

  Why JK amemtua Pombe na Mwakyembe kwa ajili ya kumpiga vita RA as kampuni yake ya Estim ndio inayoongoza kwa kupewa deals nyingi na Wizara ya Ujenzi toka enzi za mzee wa vijisenti?
  Inasemekana Pombe alikuwa anapigwa vita na mtandao asirudi ujenzi ili waendelee kuzifaidi fwedha za Ujenzi. Ni nani alikuwa anaifahamu kampuni ya Estim mpaka 2005? Je ilipataje deal la ujenzi wa kitega uchumi na UVCCM?
  JK amemuweka Mwakyembe pale ili amsaidie Pombe kunyang'anya kazi zote za Estim zilizopatikana kimagendo?
  Naomba mchango!
   
 2. O

  Oshany Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tafadhali usiandike lolote bila kuwa na taarifa sahihi. Estim sio kampuni ya Rostam, labda ungeongelea CASPIAN. Estim inahusishwa na Patel wa MM Steel.
   
 3. c

  chidide Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuwa makini, habari ndio hiyo!!!!!!!!
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  sasa thread tayari ina mapungufu......so what next kuna haja ya kuchangia hapo?
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  acha ku-dis wewe.
   
 6. n

  ngoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The assumptions you have extended need to be backed by facts , otherwise I strongly belive that, the argument itself is fallacious.
   
 7. b

  bulunga JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mind u, ile nyumba ya JK pale ikocheni ina jengwa na estim, pia ile ikulu ya msoga inajengwa na estim, usisahau pia barabra ya msata bagamoyo :whoo:
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawamuweza Rostam hata wafanyeje..ukitaka kujua kwa nini hawamuwezi muulize Samuel Sitta atakusimulia vizuri ....
   
 9. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Asiyewezekanika ni Mungu tu kaka acha kuabudu watu ,kwa nini asiwezekanike huyo RA au kwa kuwa ana vijisenti?kama serikali ikiamua hakuna aliye juu ya sheria ,Kikwete akiamua kumshughulikia hana haja ya kuwatafuta akina Mwakyembe au Magufuli si hao wote ni wateuliwa wake
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kusema ukweli kazi ya estim ni nzuri na nisingependa wanyang'anywe simply because of chuki au siasa

  gademu
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  angekuwa rais Dr.Slaa ningeelewa anachozungumza lakini kwa JK Rostam ni mungu na ndo ataendelea kushika remote control ya magogoni mpaka JK amalize muda wake
   
 12. k

  kayumba JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35


  Kwa wale ambao ni wadau katika Construction Industry watakuwa wanajua kwanini Estim anapewa kazi nyingi na wizara ya ujenzi. Kwa ufupi kwa sasa Estim ndiye mkandarasi mkubwa ambaye anaweza kushindana na kampuni kama Konoike, Kajima, Kalafi, CRJE, CHICO you name it! Ana uwezo wa kufanya kazi na amedhiirisha pasipo shaka kwa ile miradi aliyofanya so far! Kwa yule asiyejua, miradi ya wizara ya Ujenzi ni mikubwa sana (xx/xxx Billions) hivyo kampuni nyingi za kitanzania huwa hazitimizi hata masharti ya Tender ndiyo maana tumezoea kuona Contractors wakigeni wakifanya miradi yote mikubwa! Na hii ndiyo sababu ya kubwa ya Estim kupata kazi nyingi na ataendelea kupata nyingine nyingi kwasababu washindani wake wakubwa si LOCAL CONTRACTORS.
   
 13. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kwani Estim kashindwa kazi mahali? Mbona hamzilaumu hizo kampuni za kichina ambazo zinashindwa kukamilisha mikataba?

  Amandla......
   
 14. R

  Reyes Senior Member

  #14
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani aliyejenga barabara ya kurasini ambayo kwa sasa imezeeka na haitamanishi? Estim au? hivi Kajima wapo au wajanja wanatumia jina lao tuu?
   
 15. D

  DENYO JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani sultani hawezi kusimamia nidhamu akipewa demu analegea ra alishampatia cousin wake na jamaa amekufa pale yule dada akimweka kwenye mapaja tuuu rostam anaibuka na tenda kwa hiyo mpaka katiba ibadilike ndiyo ra ataacha kuiendesha magogoni anavyotaka manake anavitendea kazi vyote
   
 16. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ni vizuri kuweka heshima ya JF kwa kuandika habari za kweli na ulizofanyia kazi kwa asilimia 100 badala ya kuishushia heshima kwa kuandika taarifa usizojua na ni za uongo mtupu.
  Estim ni kampuni ya Subash Patel na siyo RA
   
Loading...