Think Tank
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 233
- 25
Akihutubia ktk ufungunzi na mahafali ya chuo cha Udom Rais Jakaya M.Kikweta amewashauri wanafunzi wa vyuo wajikite zaidi kwenye masomo badala kujiingiza kwenye mambo ya siasa,hasa kutumiwa na wanasiasa!Ushauri wake unaendana na matendo yake hasa alipofunga vyuo mpaka uchaguzi upite,lakn hapohapo ameniacha njia panda hasa palf alipochukua mchango wao,wakati anagombea na hakuwapa ushauri huo!Pia akawatumia ktk ufungunzi wa mkutano wa chama chake na kuwapa nafasi kutumbuiza pamoja kutoa risala ambayo kama wangeitoa ktk jukwaa la upinzani sijui kama wangemaliza chuo. Ukiufatilia kwa makini ushauri wake una vitisho ndani yake na maelekezo kwa wakuu wa vyuo.Mi naona Rais wakati anatoa ushauri angetoa mfano wa chuo cha Udom kuonyesha Uccm sio kuongea jumlajumla tu.Mi naona ushauri huu ni kwa ajili ya wale waupinzani na vilevile yeye hahitaji tena mchango wa wanavyuo kashatoka kwenye siasa za ushindani!Nawakilisha.