JK, JK, Mheshimiwa, eeeehhh, nisikilize basi aaahh....!!! Hata kunisikiliza hutaki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, JK, Mheshimiwa, eeeehhh, nisikilize basi aaahh....!!! Hata kunisikiliza hutaki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Nov 25, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  JK, JK, pokea ushauri/mapendekezo yangu najua hutaki kusikiliza, fanya haya plse kama
  unataka maendeleo ya kweli, sijakupa kura yangu, but muda huu election campaign
  is over, ni kushauriana, think it....

  1. JK, Futa viti maalum immediately, huu ni mzigo na fedha mabilioni yanapotea
  kisha among those 10 MPs unaowateua wape nafasi mfano ya walemavu, wanawake nk.
  2. JK, borrow Dr. Slaa's ideas, mfano mchakato wa katiba uanze may be 6 months to come
  acha aibu, working on good ideas, mafanikio yataonekana kwako, plse JK
  3. JK, umemweka tena Sophia Simba, Mkuchika, Makongoro, Wasira, JK hapa umeanguka
  toa hawa, si creative, si watendaji kazi, zero, unaweza badili mawazo now, hawafai
  najua hutanisikiliza, anyway
  4. JK, tatizo si baraza kubwaaaaaaa au ndogo la wastani, TATIZO UWAJIBIKAJI, i.e responsibility hapa
  ndio ujue mtu anaharibu tena kwa kujua wazi, then eti unatoa caution, toa warning
  na mtoe, mifano mingi ww unajua pia
  5. JK, unakumbuka zile ahadi zako kwetu, nyingiiiiiiii, rejea zingine hazifai,impossible
  to implement, chukua ideas za Dr. Slaa, Saruji, bati nondo baba watu wajenge
  shusha bei, JK nisikilize maana utaweza haya ukiamua, ila sina imani.
  JK, JK pokea huu ushauri utaisaidia Taifa letu lijengeke, kazi njema
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aaah mkwere mbishi bwana anawabishia hata madaktari wanaoangalia afya yake mpaka anaanguka chini, puuuh
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Sikio la kufa....
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Apeleke Meli ziwa Victoria..ile ya toka wakoloni itaua watu muda zi mrefu..
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Muda ni mali kaka.

  Fanya mambo mengine. Achana na huyo mtu.

  Hashaurikagi.
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  JK JK japo umechaguliwa na NEC hiyo sio hoja tena ushaingia jengo jeupe la magogoni please fanya kama mshikaji alivyoshauri Mr. President!
   
 7. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Kwa JK, kazi unayofaanya kaka ni sawa sawa na kusubili mti wa mwembe uze parachichi.
  Nenda kafanye kazi usipoteze mda na JK.
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  halisikii dawa, senkyu veri machi
   
 9. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  At least angeanziasha mchakato wa new constitution then vitu maalum mwisho 2010, wasirudi bungeni, ila jamaani hasikii
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unapoteza Nguvu zako mkwere huyo hashauriki kabisa ndiyo maana nchi inazidi kuporomoka kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi. Salma yuko wapi mboni simsikii au ndio kenda likizo baada ya Uchakachuaji wa kura?
   
Loading...