Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Wandugu,
Kitu gani kimetokea kwa hawa jamaa?? Kulikoni??
Kitu gani kimetokea kwa hawa jamaa?? Kulikoni??
Tunashukuru rais wa NEC kamuacha nje Capten. John Chiligati maana wakati wa kampeni alisema ameshindwa kuwaletea maendeleo watu wa Manyoni kutokana na kuwa na Mitara, yaani anatumikia mabwana wengi Chama, Wananchi na Uwaziri kwa pamoja hivyo hakuwa na muda wa kujali wapiga kura wake
Prof. Msola yumo. Fuatilia vizuri vyanzo vyako! Angalia wizara ya Kilimo
najaribu kujiuliza ni kitu gani kilichokuwa kigumu katika hili baraza jipya hadi likamchukuwa JK pamoja na wasaidizi wake wote zaidi ya wiki mbili kuliunda? Kama imemchukua muda mrefu namna hii kuunda baraza la mawaziri je watendaji wake wakichelewa kutekeleza majukumu yake watalaumiwa?

Yataka muda ili kufanya kazi yenye umakini na kuepuka kukurupuka kama wafanyavyo viongozi wa chama kikuu cha upinzani.
njia ya mwongo ni fupi tuu