Kwanini Sophia Simba madaraka hayo yote na Kiingereza tatizo?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,798
Madaraka ya Sohia Simba

1. Mwenyekiti wa CCM - Umoja Wa Wanawake - UWT
2. Mbunge wa Kuteuliwa-- UWT
3. Mbunge wa Kuteuliwa-- SADC
4. Waziri wa Ustawi Wa Jamii, Jinsia na Watoto
5. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Central Comittee

4. Hiyo Wizara ni Kubwa haswa majungu Mengi na inahitaji a full time attendant
2 and 3 huo ubunge atawezaje kujigawa na kuhudhuria na kutetea haki kote? kwanini asiache mtu mwingine?
5. Hii inahitaji full time participation

Kwenye CCM kuna Wanawake Wengi na Wasomi kweli Mtu Mmoja Madaraka Manne na Yote Muhimu ni ulafi wa Madaraka na lugha za watu zinatusha

Vipi kuhusu Mishahara? She's becoming very powerful najua alijuwa Spika Mwanamke mapema haswa
 
Kiukweli huo ni mrundikano wa madaraka, anastahili apunguziwe mzigo.

Napingana nawe kwenye suala la lugha, halihusiani na utawala kwani kujua kwako kihindi au kijaluo ni suala jingine na uongozi ni suala tofauti. sitaki kukuambia kwamba wajerumani inabidi wajifunze kiingereza kama wakitaka kutoka huko kwao na wengineo wala hawana haja nacho wakifika hapa watajinfuza kiswahili.:teeth:

Hivyo basi Sofia Simba ni wa humuhumu. hakihitaji kiingereza. nawe ukitaka kwenda china jifunze kichina kwanza na si kiingereza!!
 
hii tusilaumu serikali ni wananchi ndio wananyamazia upuuzi kama huu na ndio maana vitaendelea na hakuna jipya
 
Ukiangalia Donors wote wa hiyo Wizara ni toka Scandinavian Countries na mbali na Lugha Zao Wanaongea Kiingereza Fluently

Ukiangalia Bunge la SADC ni hivyo hivyo sasa kama wewe ni Mwakilishi wa Kwenda Shoping Botswana Sawa lakini ni kama Mwanamke Pekee anaiwakilisha Nchi ya Tanzania kweli tunahitaji Jemedari wa kutetea haki za Wanawake; mfano mzuri ni Uridhi Tanzania tuko nyuma ya nchi zote kwenye SADC kuhakikisha Mke anapata Uridhi wa Mali baada ya Mume kufariki; so many topics kudiscuss
 
kama angekuwa kila cheo anapewa gari na dereva wake yani ingekuwa kama dereva babili ya Saida karoli, hta hivyo Mama Mipasho hanauwezo kihivyo ingawa ni bingwa wa kupangua mabomu ya Upinzani kwa staili ya liache liende!:embarrassed:
 
Kwani walikuwa wapi wenyewe kugombea? Mwacheni huyo mama akina mama wenzake wamemkubali na wanamlundikia wenyewe. Kwani hawakujua kwamba ana vyeo vingi? Wivu huoooooo!!!!!!!!!!!! Lugha wala haina nafasi kubwa hapo. Serikali ya jk itamtafutia mkalimani shida iko wapi???????
 
Kiukweli huo ni mrundikano wa madaraka, anastahili apunguziwe mzigo.

Napingana nawe kwenye suala la lugha, halihusiani na utawala kwani kujua kwako kihindi au kijaluo ni suala jingine na uongozi ni suala tofauti. sitaki kukuambia kwamba wajerumani inabidi wajifunze kiingereza kama wakitaka kutoka huko kwao na wengineo wala hawana haja nacho wakifika hapa watajinfuza kiswahili.:teeth:

Hivyo basi Sofia Simba ni wa humuhumu. hakihitaji kiingereza. nawe ukitaka kwenda china jifunze kichina kwanza na si kiingereza!!

Kwani vikao vya bunge la SADC ni vya hapahapa? unapo taka kuonyesha mapenzi yako usiweke ushabiki wa simba na yanga
 
makubwa tena haya! hapa ndipo utakapojifunza kuwa hawa watu hawapo kwa maslahi ya wananchi bali ni kwa faida yao wenyewe
kwa sababu nijuavyo mie cheo ni mzigo usio mwepesi kivile kwani unahitajika kufanya kazi kubwa ufanikiwe kuleta
maendeleo,angetambua hilo,dhamana zote hizo angetaka abaki hata na moja,lakini sababu kwao ni faida,ni ndoto kukataa na usikute
akazidi kuongezewa.hii ndio nchi yetu
 
mnasahau kwamba baadhi ya vyeo hapo anavipata kutokana na nafasi yake kama Mwenyekiti wa UWT Taifa....ubunge na mjumbe wa CC
 
fafanua 1970 na nani??

Wabbi Time, acha kumung'unya maneno:

Sophia Simba alikuwa sex-partner wa Mzee Mmoja wa Chama Rafiki yake Mzee Mwinyi (wamezaa naye mtoto):

Huyo Mzee Rafiki yake kipenzi A Mwinyi ndiye aliyemtoa Kikwete Mikoa ya Kusini na kumpeleka kwa Mwinyi kumpa Uwaziri (as Kijana)

Kwahiyo Kikwete by any means possible lazime "huyo mzee" alimwapisha kuwa hutaniangusha kama mimi ambavyo sikukuangusha... Basi!

Also note that:: As long as Kikwete ni Rais, Lazima Hussein Mwinyi (MD/MP) ataendelea kuwa Waziri tena Wizara nyeti - Lazima alipe fadhila kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi - alimtoa mbali!
 
Yaani JF hamuwezi kucoment kuhusu wanawake bila kuweka kuwa ooh alishughulikiwa, plz lets focus on leadership skills na si uanamke, kumbuka mlizaliwa na wanawake na hizo shughuli wanafanya na wanaume, first t to post a comment coz nimewasomaa wee kama months hivi issue ya mwanamke lazima sijui nani kaponea hapo! lets respect our mothers, sisters, aunts, grandmothers etc
 
Wabbi Time, acha kumung'unya maneno:

Sophia Simba alikuwa sex-partner wa Mzee Mmoja wa Chama Rafiki yake Mzee Mwinyi (wamezaa naye mtoto):

Huyo Mzee Rafiki yake kipenzi A Mwinyi ndiye aliyemtoa Kikwete Mikoa ya Kusini na kumpeleka kwa Mwinyi kumpa Uwaziri (as Kijana)

Kwahiyo Kikwete by any means possible lazime "huyo mzee" alimwapisha kuwa hutaniangusha kama mimi ambavyo sikukuangusha... Basi!

Also note that:: As long as Kikwete ni Rais, Lazima Hussein Mwinyi (MD/MP) ataendelea kuwa Waziri tena Wizara nyeti - Lazima alipe fadhila kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi - alimtoa mbali!

Sophia Simba alikuwa ni mke waa ndoa wa Kitwana Kondo. Na Kitwana Kondo ni miongoni mwa wapigania uhuru wa nchi hii wa zamani sana. Wakati wewe babu yako anachezea kahawa kwenu Tukunyema huko, Kitwana Kondo alikuwa anapanga mikakati ya kumuondoa Edward Twinning.
 
Back
Top Bottom