Kwanza, ninawasalimu wakuu
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitupia jicho jf. Nimejionea mengi. Nimejifunza mengi.
Wakati uchaguzi unakaribia nimeona jf ilipata wanachama wengi. lakini vilevile...
Send to a friend
Tuesday, 30 November 2010 23:47
0
digg
Sadick Mtulya
MHADHIRI maarufu wa masuala ya
kisiasa na kijamii, Prof Issa Shivji
ameliponda baraza jipya la mawaziri
akisema kuwa...
Wana chadema najua mnampenda huyu bana kama alivyoweza kuniongoza mgomo wa chuo enzi hizo na huku nikishangalia lakini nimeona niseme leo kwamba kijana anapoelekea ni pabaya na akika sitokuwa na...
ndugu watanzania wenzangu
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza na kuwatakia utumishi mwema wenye mafanikio mawaziri wote walioteuliwa katika wizara mbalimbali pamoja na wasaidizi wao...
Katiba yenyewe hii hapa http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf
Mimi naanzia kwenye utangulizi.
Hivi tuliamua lini haya na tuliamua vipi?Tulipiga kura au?Mimi sikumubki...
Baada ya mdahalo wa Freeman Mbowe na Hamad Rashid, zimejidhihirisha wazi sababu zinazo wazuia CHADEMA kuwashirikisha CUF katika baraza la mawaziri kivuli na kuacha kushirikiana nao hadi wakitambue...
Ndugu zangu... Hakuna kitu kibaya kama hawa watu wanaopata Cheo/Vyeo.. Hence Kutumia Kodi zetu in false pretence
Kama hawa watu wapo.... Evidence zipo....... (Sio vigumu kama mtu anasema alisoma...
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa...
Suala la kuifuatilia Zanzibar na kutaka kuifananisha na mikoa ya Tanganyika lilimtokea puani Waziri Mkuu Pinda na hadi hii leo hatamani hata kulizungumza na hivyo hivyo lilimpelekea Raisi Kikwete...
The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) secretary general, Dr Willibrod Slaa, has camped in Mwanza to boost campaigns for his partys candidate for the mayoral seat for the municipal...
JK aliwaambia Chadema kuwa wametoka Bungeni lakini watamfuata kwa shida zao. Sasa Mbunge wa Nyamagana na Mbeya mjini wameingia ofisini na kukuta hakuna samani, je huu ndio mwanzo wa utekelezaji wa...
Kwaheri ya Kuonana Wapiganaji Wetu
MWENYEZI Mungu ni mmoja. Yeye ndiye huwajalia waja wake ufahamu na utambuzi. Huyu kamjalia busara na hekima na mwingine kajaliwa maisha ya ujanjaujanja tu...
Je kuna umuhimu gani kwa rais wa nchi kufungua tawi la benki? mie nadhani aghalabu hiyo kazi angeifanya waziri wa fedha.....Labda ingekuwa ni muhimu kwa rais kama angekuwa anafungua benki kamili...
JK amteua Kairuki kumrithi Makamba
Tuesday, 30 November 2010 19:09 newsroom
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mbelwa Brighton Kairuki kuwa Msaidizi wa Rais katika masuala ya...
Umeibuka mgogoro mkubwa kati ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara na kamati za siasa za wilaya tatu za mkoa huo na kusababisha zaidi ya madiwani wateule 40 wa chama hicho...
Tanzania forced to refund embezzled funds to Norway
Zebras cross a road in the Serengeti national reserve on October 25. Mid last year, the Norwegian government suspended...
Hivi majuzi nilimtembelea ndugu yangu mmoja pale Mikochen,katika maongezi nikamkumbushia mpango wake wa kununua kiwanja cha mzee fulani,Aaah,jamaa yangu huyu aliishia kuniambia namna BWANA MKUBWA...