Kuna tetesi huyu jamaa anasapoti kubwa toka kwa jk ya kuwa meya wa jiji la dar ila anapigwa vita na manji na kimbisa kuna kaukweli hapo?