MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
Baada ya mdahalo wa Freeman Mbowe na Hamad Rashid, zimejidhihirisha wazi sababu zinazo wazuia CHADEMA kuwashirikisha CUF katika baraza la mawaziri kivuli na kuacha kushirikiana nao hadi wakitambue CHADEMA kuwa ni Chama mbadala kinachobeba matumaini ya watanzania.
- CUF kwa kushirikiana na CCM wameichezea Katiba ya JMT kwa kufanya mabadiliko ya Katiba ya ZNZ yanayo puuza Supremacy ya Katiba ya Tanzania.
- CUF wanatambua Tume ya Uchaguzi na matokeo yote yaliyotangazwa na tume hiyo.
- CUF ni Chama kinachotetea wapemba wapate vyeo.
- CUF ni Chama cha Kiislam kinachosimamia ughaidi na kushulikiana na Al shabab.
- CUF ni tawi la CCM lililoko Pemba.
- Cuf ni chama cha kikanda kisichokuwa na nia yoyote na Tanzania Bara
- CUF kinaongozwa na viongozi wenye wivu na inda.
- CUF hawafahamu na kukubali kuwa Katiba ya JMT ina matatizo makubwa.
- CUF ni ndumila kuwili.
- CUF hawamkubali kiongozi yeyote kutoka Bara kwamba ana akili na anaweza kuongoza, labda akubali kumtumikia Seif Sharrif kama Lipumba.
- CUF hawaamini katika demokrasia bali katika Usultan.
- CUF wanatukuza uzanzibar zaidi ya Utanzania.
- CUF wanatumiwa na CCM kuidhofisha CHADEMA
- CUF ni sehemu ya utawala kwa upande wa SMZ
- CUF hawana utashi wowote wala nia ya kutawala Tanzania bara.
- CUF wametangaza kuwa wanataka kuunda kambi yao ndogoya upinzani bungeni.
- CUF ni wachumia tumbo hasa kwa kuzitolea mimacho fedha anazopewa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
- CUF hawaamini kuwa CHADEMA waliwazidi kwa kura wakati wa uchaguzi mkuu.
- CUF na viongozi wao hawaaminiki hata kidogo.
- CUF hawawezi kutunza siri za upinzani.
- CUF kina viongozi waliowahi kutuhumiwa uhaini.
- endeleza sababu zifike mia halafu apelekewe kiongozi wa Upinzani Bungeni na katibu Mkuu wa CHADEMA.