Je kuna umuhimu gani kwa rais wa nchi kufungua tawi la benki? mie nadhani aghalabu hiyo kazi angeifanya waziri wa fedha.....Labda ingekuwa ni muhimu kwa rais kama angekuwa anafungua benki kamili na sio tawi.
Ni kubadili mfumo na uendeshaji wa benk ile....na kwa kuwa tawi la mlimani jipya akaunganishia....issue wanataka iwe banki maendeleo na wakulima wapate dirisha lao...kukopea mikopo mirefu pale!!!
Chipukizi, Huu ni mwanzo wa utawala wa miaka mitano mingine wa JK. Ni wazi kuwa bado ana mambo mengi ya kufanya na kupanga. Kufungua Tawi la Benki hata kama linatimiza miaka MIA is non-issue. Mkuu should be very BZ kuuhakikisha Maisha bora kwa kila mtanzania and not doing what can b done by Waziri wa Fedha, Bwana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.