Uwezekano wa kuwafungulia Kesi Mafisadi wa Elimu (ambao ni wabunge na mawaziri)

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
Ndugu zangu... Hakuna kitu kibaya kama hawa watu wanaopata Cheo/Vyeo.. Hence Kutumia Kodi zetu in false pretence

Kama hawa watu wapo.... Evidence zipo....... (Sio vigumu kama mtu anasema alisoma sehemu fulani its easy kufanya followup na kuoana kama ni kweli alisoma huko na alipata grades anazosema alipata) kwanini kama wananchi tusiwafungulie kesi?

Kama wanaweza kudanganya kuhusu their education basi sio wakweli na wana kesi ya kujibu.

Wanajamvi naomba mnijuze kuna ugumu gani wa hawa watu kuwabana ili wafukuzwe kwenye hizo nyadhifa zao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom