Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

The Citizen (Dar*es*Salaam) Tanzania: Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe 26 August 2009 ? Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Tanzania imefikia wakati hatuwezi kutegemea wasomi au viongozi kwa kuendeleza nchi yetu bali mungu tu!. Ukiangalia vizuri (1) Kilimo kinategemea mvua ambayo inabidi tumuombe mungu kwasababu hakuna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JUSTICE ROBERT KISANGA: Constitution has outlived purpose ...SAYS THE COUNTRY'S PRINCIPAL LAW IS OLD AND OUTDATED Dar es Salaam A retired Court of Appeal judge, Dr. Robert Kisanga, has...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ni jambo la kushangaza sana kuona gazeti la Uhuru likiandika habari za matukio yasiyo sahii, hii inaonyesha kukurupuka na kutokuwa makini na utendaji wake, Jana Gazeti hili liliandika habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Makamu wetu wa rais ameondoka kwenda Ulaya kwenda kufanyiwa check up ikiwa ni kama mwezi tu tokea apate madaraka hayo. Inaelekea tumechagua makamu mgonjwa na sasa inakula kwetu. Inasemekana...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Akizunguzia suala lililozua mjadala la uchaguzi mkuu, Dk Slaa alisema kamati kuu ilipokea taarifa ya matokea ya urais kujadili na kukubaliana kuwa matokeo yaliyompa ushindi Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Sina uhakika sensa ya kuhesabu watu hapa kwetu Tanzania ni lini tena. Ila napenda nitoe ushauri wangu wakati ikifika watumie utaratibu ufuatao ambao utatumia muda mfupi na pesa kidogo. Mtanisamehe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hafla ya kumtunuku Dr Slaa tuzo ya maji maji inayotolewa kila miaka 5 na Kituo cha sheria na haki za binadamu Dr Shirvi ametoa mada kuhusu haki za binadamu na utawala bora iliyokoga nyoyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mgombea wa uenyekiti wa Baraza la Madiwani la Halmshauri la wilaya ya Hanang mkoani Manyara kwa tiketi ya Chadema, Peter Lori, ametamba na kutabiri kuwa kwa mara ya kwanza halmashauri hiyo sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi kama mtu ninayeamini nchi haiwezi kufika popote bila upinzani wa kweli Ninaomba Chadema iendelee kufanya mambo iliyoyafanya (with less MPS) hadi kukua kwa kasi kwa muda mfupi na iendelee...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MARA nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni au viwanda wakiingia katika migomo na migogoro kutokana na madai ya kutaka kuboreshewa haki zao mishahara ikiwemo. Migomo hiyo...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
JANA katika gazeti hili kulikuwa na habari zinazowaelezea wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuanza kutekeleza mikakati yao. Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natoa angalizo kwa Chadema. Mmetumia muda mrefu sana katika kukijenga Chama mpaka kufikia hapa kilipo. Sasa hivi ndio chama kikuu cha upinzani kinacho ongoza kwa wanachama wengi nchini, matawi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kupima mwenyewe kama aendelee na wadhifa wake wa naibu kiongozi wa upinzani bungeni baada ya wabunge...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mbona hali ya maji tangia mzee huyu aanze kuongoza hakuna mabadilko?Angeweza urais kweli huyu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani humu ndani JF kuna viongozi wa chadema. Kampeni zilizopita zimeleta hamasa sana kwa wa TZ. Mimi nakaa Kinyerezi watu wanauliza kadi wapate wapi, ofisi ya chama ipo wapi? Nadhani chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana usiku nilistuka sana wakati nilipokuwa naangalia kipindi cha habari caha usiku TBC 1, kuna habari moja ilikuwa ya kusikitisha ya mauaji iliyotekea Vunjo moshi. Wanahabari walielezea kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada ya maziko kwa marehemu wawili wakidai ibada haitaendelea mpaka pale waumini ambao ni wanachama wa Chama...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam. Hapo tunaona...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…