Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana jf leo nataka kuwakumbusheni ya viwanda ambavyo vilifanya kazi kwa ufanisi ila vikafa kama Tameco,Ufi,ZZK,SUNGURA TEX,TANGANYIKA Packars,je tatizo lilikuwa wapi?na tunashindwa kuvifufua
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika Khali isiyo ya kawaida katika nchi yetu kuna hii kitu Ufisadi, Rushwa na mengineyo yanayo rudisha maendeleo nyuma, si kwamba nchi yetu ni maskini au watu ni maskini la hasha ila kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana chama cha wananchi CUF kiliitisha maandamano ya kuwasilisha mapendekezo ya katiba mpya. Licha ya maandamano hayo kuzuiwa na polisi dakika za mwisho wanachama wa CUF waliendelea na maandamano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika mitego mibaya ambayo Chama cha CUF wamewahi kutegewa na kunaswa ni kujikuta wameingia kwenye mseto ambao kimsingi umewavua sifa ya kuwa watetezi wa wananchi kwa kuleta changamoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tofauti ya kura 1% yamliza Seif Na Mwajuma Juma, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho kukaa chini na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
0 Reactions
187 Replies
16K Views
http://www.msnbc.msn.com/id/21134540/vp/40817595#40817595 Kisa cellphones na wachina!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ON THE LEGITIMACY OF AN ELECTION - DID HE WIN? By. M. M. Mwanakijiji There are four types of election results that need to be appreciated and well understood before making a commentary on...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wananchi Tumesikia Jaji Werema? Kampeni ya Kukataa Katiba Ndio Imeanza. JK Kampata Jaji Werema na Wengine Waziri wa Sheria na Katiba Kuanza Kukataa Katiba kwa Kutumia Hii Misemo “Watanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Alisema wametumia nguvu za wastani kuwatawanya wana CUF na watu tisa wanashikiliwa na jeshi hilo na hakuna aliyejeruhiwa katika maandamano hayo, na Polisi kupitia Idara yake ya Upelelezi...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mzungu wa Knight Support Atishia Kuondoka Kikaoni Kwa Ghadhabu Mbele Ya Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha Written by haki | // 2 comments Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakongwe wa siasa za maji marefu CUF wamelitibua tena jeshi la polisi na kuhakikisha wamefanya kile walichokusudia kwa amani huku wakiwachezesha polisi kifura. Polisi ambao walionekana kupania...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
RA ana pesa. Pesa alizochuma kifisadi kutoka kwa WaTZ. Anaweza kutumia ukwasi wake kuwahonga watu wa WikiLeaks ili wasivujishe siri zilizotajwa na MwanaHalisi la juma hili? tujadili
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MAKAMU wa Rais, Mohammed Dk. Gharib Bilal atakuwa miongoni mwa Watanzania watakaoshiriki mkesha wa kitaifa wa kuiombea Tanzania na viongozi wake jijini Dar es Salaam. Mkesha huo pamoja na mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa tatizo la umeme kukatika limekuwa likitokea mara kwa mara na mara nyingi ikiripotiwa kusababishwa na kupungua kwa maji katika mabwawa ya kuzalishia umeme, ndugu zangu ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tamko ama tishio la Tume teuzi ya Mawasiliano TZ ya kuwashtak watu/kikund kinachotoa/vujisha mawasiliano ya watu/viongoz wa kijamii is absolutely a time barred and myophio thinking na haina nafas...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa-Tanzania tusizike tu kichwa kwenye mikataba ambamo tayari kumeshaingizwa mjini, je na mikataba mingine ambayo HAIJALIPUKA BADO NA TAYARI YAMESAINIWA nchini tuyapekue haraka kabla ya kufikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu wana JF nimejaribu kungalia katika Safu ya Viongozi Walipata Kutokea katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Namna walivyotimiza majukumu yao katika Kuwatetea Watanzania wote bila kujali...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Pale mwenge stand kuna ndg yetu albino anauza magzeti,sasa sijui ni amri ya nani na kwa malipo gani nmekuta ameyageuza magazeti ya mwanahali upande wa michezo ndio ulikuwa ukionekana kwa wapita...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wana jamii ni ukweli usiopingika mwezi wa kumi na mbili mwishoni Dar es salaam foleni huwa zinatoweka kabisa,je ingekuwa namna hii the whole year si wananchi wangepiga hatua kubwa za kimaendeleo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom