Tcra na fikra za kianalogy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcra na fikra za kianalogy

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnwele, Dec 29, 2010.

 1. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tamko ama tishio la Tume teuzi ya Mawasiliano TZ ya kuwashtak watu/kikund kinachotoa/vujisha mawasiliano ya watu/viongoz wa kijamii is absolutely a time barred and myophio thinking na haina nafas zama za digitali.Wanaweza kujifunza kazi nzuri ya Wikileaks katika kupromote good governance na kupambana na umaskin dhid ya practices na conducts mbov ya hao the so called viongoz wa kijamii before the public.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,564
  Likes Received: 18,299
  Trophy Points: 280
  kuna kitu kinaitwa the right to privacy. Hii ikikiukwa kampuni za sumu, benki au serikali zinaweza kushitakiwa kwa kutoa taarifa za binafsi za watu.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  this topic has no relevance to political forum category .... please get rid of confusion in a well organized web portal called Jamii Forums ...... organize you mind set and IQ position..... then shift to responsible forum category
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sio mahala pake? make a demonstration!...au imekugusa na wewe, au pengine basi tu hauna la kuchangia
   
Loading...