Moja ya Maamuzi mabovu ya Kikwete haya hapa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moja ya Maamuzi mabovu ya Kikwete haya hapa..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mythbuster, Dec 30, 2010.

 1. Mythbuster

  Mythbuster Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Typical white people Mumbo Jumbo

  all of a sudden wanaonyesha interest na sisi lakini ukweli ukitazama the entire reporting hakuna kilio cha wananchi watakao faidika na mradi huu...in short nimesikita kuwa wanataka kuifanya only two way road badala ya proper highway yenye lanes 8 nne kwenda nne kurudi na in betwetween wajenge mahoteli na kadhalika

  Naona JK anachelewesha huu mradi kwa sababu ya political correctness kuwasikiliza wenda wazimu hawa. Ingekuwa China tayari barabara ingekuwa ishaisha na kila mtu angekuwa kimya

  enough with ECO-IMPERIALISM toka kwa hawa wazungu
   
 3. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nadhani una mamtatizo,,. hao jamaa wanajaribu kutusaidia tuliolala madhara ya huo mradi wa kukurupuka. Watu sio wajinga wanaposema hifadhi ziachwe as natural as possible . Afrika ya kusini pamoja na maendeleo yake yote mpaka leo huwezi ona barabara ya lami kwenye mbuga zao.
  Watalii wanakuja angalia Serengeti moja ya sifa zake ni kutokuharibiwa na shughuli za binadamu sasa hiyo barabara italeta disaster sana kwa wanyama badala kuliko hata hiyo faida ya kulazimisha ambayo ingetumia njia mbadala.
   
Loading...