Dume la mbegu lafanya kweli-CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dume la mbegu lafanya kweli-CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Dec 29, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wakongwe wa siasa za maji marefu CUF wamelitibua tena jeshi la polisi na kuhakikisha wamefanya kile walichokusudia kwa amani huku wakiwachezesha polisi kifura.

  Polisi ambao walionekana kupania na kulinda kila kona walikuwa kila wanapotahamaki wanajiona wamechwa kwenye mataa ,mwisho walisikia habari kutoka kwa wasamaria wema kuwa CUF wameshatinga kwenye wizara na kuwasilisha rasimu sifuri ya Katiba.

  Sasa wanangangari hao ambao wanajulikana kama dume la mbegu kwa sababu ya kutoa wanasiasa mashuhuri kwenda kwenye vyama vingine kama akina Shaibu Akwilombe,Wilfred Lwakatare Tambwe Hiza ,Jidawi na wengineo ambao wamepata umaarufu wa ksisiasa kupitia chama hicho cha CUF.

  Msemaji wa CUF amesema sasa wametoa tena mbegu hiyo ya kufanya maandamano na vyama vingine viwache stori stori nyingi na blah blah ,viingie barabarani kwa salama na amani bila ya kuleta vurugu kwani maandamano ya amani yaliyofanywa na CUF hakukutokea malalamiko yoyote ya uharibifu au uvunjifu wa amani,ila kukurukakara ndogo tu ya kufurahishana na polisi ,jambo ambalo wanauzoefu nalo na wanalifanya kwa ustadi mkubwa kabisa.Hii ni mara ya tatu kwa wanangangari hao au kwa jina lingine wekundu wa Tanzania kufanya maandamano na kufikia lengo lao.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Jike la mbegu linaboa hapa JF
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hiyo rasimu 0 iko wapi wandugu? Huyo mbuzi mtoeni kwenye gunia ili tumuone badala ya kufichaficha mambo!
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na haja kweli ya kuandamana mkuu?

  Kama nikukabidhi rasimu si mngeomba appointment na Waziri viongozi wakaenda ofisini bila rabsha

  Baadaye mkawaita media?

  Mnapenda kujitangaza kwa mapambano badala ya kwa busara ...sijawakubali bado!
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuandamana ilikuwa njia nzuri ya ku-test authorities kwa nini wanazuia watu kuandamana? Wanazuia ili iweje? Hata hivyo kama lengo lilikuwa kuwasilisha hiyo rasimu, basi what they did only amounts to party self-end. Let every man be respected as an individual and no man idolized as they want us to.

   
 6. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa hayo yaliyotokea jana kati ya cuf na polisi ulikuwa ni mchezo wa kuigiza uliolenga katika kujenga mazingira muafaka wa kupambana na maandamano halisi ya chadema na Tucta yanayonukia.
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Maandamano ya nini? ili mpate nini?

  Mnataka kuiga kila kitu wakuu

  Aisee mnatukera sisi wengine ambao biashara zetu ziko kandokando mwa barabara mpaka basi?

  Si mpeleke hoja zenu kwenye authority bila kuandamana...

  Wakati unasema cuf wamefanya self destruction you guys are doing the same thing...
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  umakini wa chadema haupimwi kwa maandamano.

  hizi crap zako peleka huko zenj ambako kafu ninajulikana
   
 9. Mythbuster

  Mythbuster Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Walichokifanya ni sawa na utoto tuu. Sioni tofauti na kutuma hiyo rasimu yao kwa njia ya Posta au Email au kupeleka bila ya maandamano uchwara. Kupeleka rasimu ni kitu kingine na rasimu kukubaliwa au kujadiliwa ni kitu kingine. Wanajipendekeza kupata umaarufu tuu.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,563
  Likes Received: 3,859
  Trophy Points: 280

  nawakubali!
   
 11. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  MH! sijakuelewa kwa nini utumie neno Dume la mbegu, au wewe ni dume la matunda? elezea bila misifa ndg yangu tutakuelewa sio kuweka bwebwe zako za kishamba
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Walipeleka raimu ya nini vile? nilisikia kama unasema CUF wamepeleka rasimu ya mahakama ya kadhi
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu hata kama ungekuwa wewe ufanye kuigiza kupigwa virungu kweli? walioenda kuandamana walikuwa raia tu kama wewe wa huko mtaani. nani angejitokeza kama ingekuwa kuigiza? na vitosho vyote yva afande Kova?
  Tumia akili mungu alizokupa. Tafakari, chukua hatua.
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu Topical,

  Hivi ni kweli hujawakubali bado? Jitetee mkuu,
  Topical [​IMG] JF Senior Expert Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join DateFri Dec 2010

  Did you find this post helpful? [​IMG] | [​IMG]
  [​IMG] 2015: Ubunge kupitia CUF?

  Mimi ni mwanamageuzi wa siku nyingi napenda kugombea ubunge kupitia CUF mwaka 2015 jimbo moja mkoani manyara, vipi uungwaji wa CUF huko na mikakati gani natakiwa kufanya kuanzia sasa?

  Tuache jokes niko serious! ​
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa hili la kupeleka rasimu kwa maandamano..hamja tutendea haki wananchi

  Hakukuwa na haja ya maandamano

  Ilitakiwa appoinment na waziri then baadaye muite media

  huo ndio msimamo wangu...next
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Udume wa mbegu upo wapi sasa!! Tangu lini ccm B ikaandamwa na polisi!!! Huo ni usanii tu!
   
 17. s

  start Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote cuf ,chadema,ccm ni cheche tupu
   
 18. s

  start Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna siasa africa,wote ccm,cuf & chadema ni wezi tu
   
 19. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa na wewe ni mwafrika na unaonglela siasa na wewe ni mwizi tu!
  Hatuamini post za wezi hapa
   
Loading...