watu wanaendaga wpi?
Wana jamii ni ukweli usiopingika mwezi wa kumi na mbili mwishoni Dar es salaam foleni huwa zinatoweka kabisa,je ingekuwa namna hii the whole year si wananchi wangepiga hatua kubwa za kimaendeleo kuliko kupoteza a lot of time kwenye foleni?
Watu wengi hupenda kujipumzisha mikoani kama mwanza,tanga,songea,iringa,mbeya kuna hali nzuri ya hewa