Namtakia Maisha Marefu Dk. Wilbroad Peter Slaa (PhD) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtakia Maisha Marefu Dk. Wilbroad Peter Slaa (PhD)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Dec 28, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana JF nimejaribu kungalia katika Safu ya Viongozi Walipata Kutokea katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Namna walivyotimiza majukumu yao katika Kuwatetea Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za Dini na makabila

  Namna walivyo walivyowatetea Watanzania bila Kujali au kujiwekea Mipaka katika Majimbo ya Uchaguzi

  Namna walivyoweza kuhimili Siasa Chafu za CCM na kuweza kujipambanua kama Kimbilio la Watanzania walio wengi

  Kiongozi Jasiri, Mwenye Busara, Aliyewahi kutoa Machozi kuwalilia Watanzania wanaoshi katika Hali duni Kimaisha

  Kiongozi aliyekuwa na maono na Kiu ya Kuwatumikia Watanzania na kurejesha Usawa ulipotoea katika Jamii ya Watanzania

  Huyu si Mwingine bali ni Dr. Wilbroad Peter Slaa ( PhD), Rais wa Waananchi

  Mungu Akuzidishie Afya Njema, Akupe Maisha Marefu, Akuongezee Busara na Ujasiri wa Kupigana kwa ajili ya Watanzania walio wengi wasio jua Haki zao za Msingi, Watanzania Wengi walikuamini wakakupa Kura, bado Watanzania wana Imani kubwa sana na Wewe.

  Asante Mungu kwa Kutupa Kiongozi huyu Shupavu kuwahi kutokea, Umlinde dhidi ya Wabaya wake maana yeye ni Sauti za Wanyonge na waja wako

  Long Live Dr. Slaa (PhD)
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono, miguu, na kichwa kwa asilimia 1,000. Dr. (PhD) ni kiongozi mwanamapinduzi anayeweza kutuvusha watanzania kutoka kwenye lindi la umaskini hadi kwenye utajiri.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Amefanikisha kipi katika hayo mapambano hadi leo?

  Ameanza lini hayo mapambano? miaka....

  Anapigania nini? a... b...c...

  Katika watetezi wa haki Tanzania does Slaa name appear really?

  Unajua mnapamba huyo mzee mpaka mnachafua bila kufahamu...

  He is nobody dude...just a former priest hooked with women has to leave church then happened to be MP and tried to contest for presidential post backed by church networks ended up with only 26% . On road crying foul play with no clues and evidence (that it short story of the man aged 60+)
   
 4. W

  We can JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nabii hana heshima kwao!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkwe wa Dr. AL Zawahiri ......
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nabii anatakiwa awe na heshima kabla ya kuheshimiwa ok.
   
 7. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145

  Michango yake bungeni iliyofichua ufisadi wa RichMond/ Dowans, Meremeta na Deep green, Mikataba mibaya na uonevu wa kunyanganywa ardhi wananchi wa jamii za wafungaji, marupurupu ya wabunge yasiyojali hali halisi ya maisha ya watanzania, kukubali haki yake ikanyagwe na ushindi wake uchukuliwe ili asiwaigize watanzania katika machafuko yaliyokuwa yamepangwa ili kupaka matope wapinzani baada ya kuibiwa kura, kujiepusha na mtego wa udini aliotegewa na genge la wahuni wakiongozwa na Makamba...........................................
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  somehow unaumwa na ubongo na unanuka maviiiii huchambi ww
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Topical...

  Kama jina lako lilivyo, topical ni superficial, yani watumika locally na hauko systemic... u superficial and that is typical of topical stuff, not to be inhaled/sniffed, injected nor swallowed

  Uko sahihi kwa level yako, which represents lots of people in Tanzania who are CCM... umefungwa na na u mfungwa wa mtazamo na maturity

  wanasema la kuvunda halina ubani, i dont see you improving in any way...
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Michango bungeni...hongera zake...ndio maana nikasema happened to be MP he did good job, vivyo hivyo Ana kilango did, and the like

  Mengine hakuna kitu..ni wishes za wapenzi wa cdm
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Improving is subjective statement dude

  Slaa tutamwambia ukweli kumsaidia tu...

  Chadema must look for "best presidential" candidate

  Slaa will send cdm no where given the qualification and background.

  This very topical, really topical issue are discussed

  Acheni kumpamba huyu mzee wa miaka 60+

  Historia yake na mambo aliyoyafanya TZ is just peanut mkuu...

  easy to forget..let him do more feasible and realistic things
   
 12. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Come again...? ukishakuwa na hysteria = govi la ubongo the only way to get circumsized is to go back to school or jifunze thru people wenye uelewa, ww una govi la ubongo
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  simpambi sana mkuu... najaribu kumlinganisha tu na JK kwangu yatosha, Dr. Slaa is the first president in our era kudeclare anagonmbea in just six months na kumtoa kamasi rais ambaye amejiandaa since Nyerere was in power, i mean over 20 years ago

  that alone is a milestone, let alone making people like you sleepless and shameful of your greedy nature
   
 14. z

  zamlock JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  tunakupenda dk slaa tunakuombea maisha marefu na mungu akuoe uzima tunajua iko siku kwa mapenzi yake utishi pale ikulu na utawakemea viongozi wachafu na watakwenda kuoga na watakuwa wasafi iko siku dk slaa vuta subra.
   
 15. P

  Percival Salama Senior Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Alberto, umewakilisha watanzania wengi mno plus me kwa post yako hii. Mungu atafanya kitu kwa watanzania kupitia shujaa huyu Dkt (phD) W.P. Slaa.
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hawalingani

  JK weak and slow learner

  Ana sickness ya kuogopa kufanya maamuzi

  At least anawapenda wa Tanzania wote

  Ni mzalendo kupita Slaa....nimeshazungumza na Slaa mara kibao ofisini kwake kwa kazi zangu lakini

  Nimegundua uzalendo wa kibaguzi kwenye kinywani mwake...
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  easy mkuu... no need kwenda kwenye matusi

  topical has no substance and could be MS tripping

  easy Mr. President
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama hayo ni mafanikio hongereni

  Subirini miaka 10 tu kama sla atakuwepo katika historia yenu.
   
 19. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Topical,
  kama wewe ni Mtanzania wa ukweli, ipo siku utarudi kwenye mstari..it's a matter of time..utakiri kwa kinywa chako, au maandishi yako kuwa Dr Slaa ni mzalendo, shujaa wa kipekee na mtu mwenye vision hapa Tanzania.
  Angalia, akina Maggid imani zimewasuta na sasa wameamua kurudi kundini ili wahesabiwe
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Long LIve our President
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...