Tusiwabeze cuf madai ya katiba mpya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiwabeze cuf madai ya katiba mpya.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by samirnasri, Dec 29, 2010.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jana chama cha wananchi CUF kiliitisha maandamano ya kuwasilisha mapendekezo ya katiba mpya. Licha ya maandamano hayo kuzuiwa na polisi dakika za mwisho wanachama wa CUF waliendelea na maandamano hayo kitendo ambacho kilisababisha taharuki baada ya askari polisi kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wana CUF. Jambo lililonisikisha ni kitendo cha wana jamii forum kubeza harakati hizo za kudai katiba mpya. Wengi wametoa manenö ya kejeli na kudai inakuaje polisi wanawapiga ndugu zao na CCM. Wana JF wanaona harakati hizo za CUF hazina mchango wowote katika mapambano ya kudai katiba mpya kwa sababu CUF wako kwenye serikali ya mseto kule zanzibar. Mtu mwenye mtazamo huo hastahili kujiita great thinker. Ni vizuri wale wote wenye mtazamo hasi dhidi ya CUF ni vema akafahamu kwamba harakati za madai ya katiba mpya sio za CHADEMA peke yao bali ni ya watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa au dini. CHADEMA PEKE YAN HAWAWEZI KUTUPATIA KATIBA MPYA. Hivyo basi ni muhimu tuunge mkono harakati zinazofanywa na makundi mbalimbali ili kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya. Kitu kingine naomba tuache tabia ya kuwashabikia polisi wanapokua wakiwandunda wananchi wakati wa kutekeleza haki zao za kikatiba kama wana JF wengi walivyofanya baada ya polisi kuwadunda wanafunzi wa UDOM na jana baada ya kuwatawanya wana CUF. Tunapochangia ndani ya JF tuache kufuata mkumbo.
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu nashangaa mpaka sasa hivi hujaelewa kilichopo hapa JF. wengi waliopo hapa ni maextrimist wa chadema na watu waimani fulani. Angalia kitu chochote kinachojadiliwa hapa utaona muelekeo wa watu. mtu akichangia tu utamjua huyu ni wa mrengo gani. Ni wachache sana ambao kweli wapo kwa mema ya waTZ wote mfano Dr. Slaa, Zitto, Mwanakijiji na some few people ambao kweli ukisoma michango yao unaona mwelekeo wao jinsi ulivyo na tija kwa taifa (japo sijui yalio kwenye vifua vyao). Mpaka hata nimefikia kufikiria hii jamii forum IFUNGWE KWANI INATUJENGEA CHUKI TU BAINA YA WATU WA IMANI TOFAUTI. MIMI NIMEKUWA NA KUSOMA NA WATU WA IMANI TOFAUITI KUANZIA UTOTONI MWANGU LAKINI KUPITIA HII jf UNAWEZA KUMUONA MWENZAKO NI ADUI. KWA KWELI WATU WA JF TUNAKAZI YA ZIADA. KUONDOA HIZI ELEMENT ZA UDINI, NI BORA HATA ZA KICHAMA LAKINI ZA UDINI ZITATUFIKISHA PABAYA.
  CHUKULA MFANO WAKIKUTANA uso kwa uso REV MASANILO NA YAYA WEWE UNAFIKIRI KUTAKUWA NA URAFIKI HAPO? KWA HIZI THREAD ZAO WANAZOTOA?
  MIMI NASHAURI KWELI KAMA WATU HAWATAACHA USHABIKI HASA HUU WAKIDINI NA KUBEZI KWENYE FACTS, BASI NASHAURI HII FORUM IFUNGWE. Vivyo vivyo, kopy and paste kwenye hii thread yako kwa CUF.
  ASANTE.
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3

 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hatuwezi kuwabeza, but let them not overtrumpet!
   
 5. K

  Kivia JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hongera ndgu samirnasir, umeongea kweli Kabisa, KUNA TABIA ZA KIJINGA ZA KUIBEZA "CUF" wapende wasipende cuf ndio chama chenye historia ya mapambano ya mabadiliko. Hawasemei mabadiliko maofisini , wanatoka barabarani pamoja wanachama wao ni watiifu kwa viongozi wao. Hoja nyingine wanayotoa eti mbona SEIF & Lipumba mbona hawakuwepo ? Sasa nawauliza Mwenye shida ya katiba sio seif/lipumba bali@ mwananchi anatakiwa adai kwa nafasi yake. Pia SEIF SIO Muoga wa polisi -Alifungwa miaka 3 kwa ajili ya siasa hizi, lipumba aliwahi kuvunjwa mkono nk. Na maandamano sio lazima viongozi wa juu wote wawepo. Hata ivory cost wanaoandamana ni WANANCHI sijamuona owtara kwani waliodhulumiwa ni wananchi. mwisho CUF NI WAKONGWE KISIASA TZ.
   
 6. mapango

  mapango Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  shabbash
   
 7. n

  niweze JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Well Well Wananchi Kutokukiamini CUF Sio Kitu cha Kushangaa na Tuna Haki Kutokana na Matendo Yao ya Kinafiki. Huko Zanzibar Wamefunga Ndoa na CCM, Huku Bara Wanasema Wanataka Katiba, Huko Bungeni Wanataka Kuanzisha Upinzani Mpya, Huko Nyuma Walitaka Visiwani Wajitenge, Chama Chenyewe Kinaogopa Kukaribisha Wakristo kwa Moyo Mmoja. CUF Figure out What You Guys Want na Sisi Wananchi Tutafikiria na Kutafakari Huko Mbele Ila Sasa Hatuta Waamini Ngo Ngo NGO... Vyama vya Siasa Katika Ngazi ya Nchi Kamwe Haviendeshwi Kwa Mfumo Huu Hata Mara Moja.
   
 8. M

  MLEKWA Senior Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MY BE YOU CAN EDUCATE YOUR SELF LITTLE BEAT THIS IS EVIDENCE FROM MY WORDS ALWAYS I TELL MY FRIENDS CCM ZANZIBAR IS DIFFERENT FROM CCM MAINLAND AS WELL CUF ZANZIBAR IS DIFERENT FROM CUF BARA SO MaY BE THERE IS CONSTITUTIONAL ISSUE HERE NEED TO BE
  RESOLVED
  . i HEARD some one say Political parties are not union matters if not Why Mtikila was not allowed to operate his Party because he recognise Zanzibar is another country how come today Vyama kuwa not a union matter I will tell you for sure CCM Zanzibar are not happy with Tanu marriage they will be happy to have Afro Shirazi Party back and wear mapakacha all night long . CUF can hang there I dont know but the whole nomination of DR Karume and DR Bilali is enough evidence CCM Zanzibar are tired with abusive husband and ready to get divorce even tomorrow. So New constitution can put country into Soviet Union and Yugoslavia any thing can happen .
  Jielimishe na muadishi alijitahidi kutafuta historia

  Vituko vya CUF kutaka kushirikishwa kambi ya upinzani bungeni
   
Loading...