Serikali isiyoheshimika - tanzania

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
235
Mzungu wa Knight Support Atishia Kuondoka Kikaoni Kwa Ghadhabu Mbele Ya Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha


Written by haki | // 2 comments



Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support,David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Jenerali Matwani Kapamba (kushoto)kumueleza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Shamsi Vuai Nahodha(wa pili kulia)kuhusu kampuni yake,wakati waziri huyo alipotembelea kampuni hiyo ikiwa ni sehemu yake ya ziara kwa kampuni mbalimbali binafsi za ulinzi na uokoaji,Dar es Salaam.Picha na Fadhili Akida​
 
Back
Top Bottom