Napendekeza CCM ifutwe; sababu za kufuta CCM hizi hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napendekeza CCM ifutwe; sababu za kufuta CCM hizi hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ghuhia shabani, Apr 24, 2011.

 1. G

  Ghuhia shabani New Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna sababu Kadhaa za kupendekeza CCM Ifutwe kama ifuatavyo:
  1. CCM imekubali kuwa imekumbatia mafisadi. CCM imewataja Lowasa, Rostam na Chenge kama vinara.
  Hawa ni wachache tu kutoka kwenye orodha ya Dr. Slaa. Je nani aliyebaki msafi ndani ya CCM?

  2. CCM imeshindwa kusimamia falsafa yake ya Wakulima na Wafanyakazi.
  Leo CCM imekumbatia wafanyabiashara. Je kama CCM kimeshindwa kusimamia
  itikadi yake, CCM itaweza kusimamia nini?

  3. Ukosefu wa maadili kwa viongozi wa CCM na serikali umetufikisha pabaya. Siri za CCM na Serikali
  zinavuja kwa kiwago cha kutisha.
  Viongozi wameunda mitandao na kambi za kiuhasama. Wanasemana majukwaani, wanachafuana na kuaibishana.
  Baraza la mawaziri halipo. Kila waziri anasema lake.

  Kwanini CCM isifutwe?

  4. CCM imeshindwa kusimamia mali za umma. Mfano, Viwanda na mashirika ya umma
  yameuliwa. Madini, mbuga za wanyama, Misitu, nyumba za serikali N.k vimeuzwa.
  Kwanini CCM isifutwe?

  5. Kiwango cha umaskini kimeongezeka. Maisha bora tuliyoahidiwa yamekuwa ndoto. Ahadi nyingine ndo
  kabisa hazitimiziki. Kwanini CCM isifutwe?

  Kwa sababu hizi, kwanini CCM isifutwe?
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani kisifutwe maana kitakufa natural death mwaka 2015!
   
 3. G

  Ghuhia shabani New Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna sababu Kadhaa za kupendekeza CCM Ifutwe kama ifuatavyo:

  1. CCM imekubali kuwa imekumbatia mafisadi. CCM imewataja
  Lowasa, Rostam na Chenge kama vinara. Hawa ni wachache tu
  kutoka kwenye orodha ya Dr. Slaa. Je nani aliyebaki msafi
  ndani ya CCM?

  2. CCM imeshindwa kusimamia falsafa yake ya Wakulima na
  Wafanyakazi.Leo CCM imekumbatia wafanyabiashara.Je kama
  CCM kimeshindwa kusimamia itikadi yake, kitaweza kusimamia
  nini?

  3. Ukosefu wa maadili kwa viongozi wa CCM na serikali
  umetufikisha pabaya. Siri za CCM na Serikali zinavuja kwa
  kiwago cha kutisha. viongozi wameunda mitandao na kambi za
  kiuhasama. Wanasemana majukwaani, wanachafuana na
  kuaibishana. Baraza la mawaziri halipo. Kila waziri
  anasema lake.Kwanini CCM isifutwe?

  4. CCM imeshindwa kusimamia mali za umma. Mfano, Viwanda na
  mashirika ya umma wameuliwa. Madini, mbuga za wanyama
  Misitu,nyumba za serikali N.k vimeuzwa. Kwanini CCM
  isifutwe?

  5. Kiwango cha umaskini kimeongezeka. Maisha bora
  tuliyoahidiwa yamekuwa ndoto. Ahadi nyingine ndo
  kabisa hazitimiziki.Kwanini CCM isifutwe?

  Kwa sababu hizi, kwanini CCM isifutwe?
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ifutwe wapi? Kwenye daftari la majili wa vyama vya siasa au kwenye mioyo ya watanzania?
   
 5. T

  THE DAR BAR Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NDUGU WANA JF HAWA CCM WAMEKUWA WATAFUNAJI WA MALI ZA UMA KILA MAHALI ANGALIA KWENYE SECTOR YA BARABARA PESA ZINAZOTOLEWA HAZILINGANI NA UBORA WA BABARA YENYEWE WATANZANIA TUNAWALAUMU WACHINA WACHINA WANAFANYA VIZURI MONO TATIZO NI WASIMAMIZI WAWAOMBA SANA RUSHWA HIVYO HATA KIWANGO CHA BARABARA KINA SHUKA , HEBU ONA NIMEKUA KARIBU SANA NA HAYA MAKAMPUNI YA KICHINA YA UJENZI KWANZA KABLA KAMPUNI HAIJAPATA MRADI INATAKIWA IWAPATIE VIGOGO PALE TONROADS 2.5 -5% YA VALUE OF PROJECT, HIZO MREMA YULE ALIYETOKA AMEZILA SANA NA ALIKUA NA KAMPUNI ZAKE KAMA VILE
  CHICO, SINOHYDRO KAZIPA KAZI NYINGI KWA SABABU HIYO, SASA KWA HALI HIYO TUTAKUA NA BARABARA NZURI? CCM ITOKE VINGINEVYO MATESO YATAONGEZEKA ZAIDI YA HAPA KWA WALALAHOI
  1. CCM imekubali kuwa imekumbatia mafisadi. CCM imewataja Lowasa, Rostam na Chenge kama vinara.
  Hawa ni wachache tu kutoka kwenye orodha ya Dr. Slaa. Je nani aliyebaki msafi ndani ya CCM?
  2. CCM imeshindwa kusimamia falsafa yake ya Wakulima na Wafanyakazi.
  Leo CCM imekumbatia wafanyabiashara. Je kama CCM kimeshindwa kusimamia
  itikadi yake, CCM itaweza kusimamia nini?
  3. Ukosefu wa maadili kwa viongozi wa CCM na serikali umetufikisha pabaya. Siri za CCM na Serikali
  zinavuja kwa kiwago cha kutisha. Viongozi wameunda mitandao na kambi za kiuhasama. Wanasemana
  Majukwaani, wanachafuana na kuaibishana. Baraza la mawaziri halipo. Kila waziri anasema lake.
  Kwanini CCM isifutwe?
  4. CCM imeshindwa kusimamia mali za umma. Mfano, Viwanda na mashirika ya umma
  yameuliwa. Madini, mbuga za wanyama, Misitu, nyumba za serikali N.k vimeuzwa. Kwanini CCM
  isifutwe?
  5. Kiwango cha umaskini kimeongezeka. Maisha bora tuliyoahidiwa yamekuwa ndoto. Ahadi nyingine ndo
  kabisa hazitimiziki. Kwanini CCM isifutwe?

  Kwa sababu hizi, kwanini CCM isifutwe?[/QUOTE]
   
 6. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Maoni yangu hii pia ni sababu ya kukifuta:-
  Mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa kulitakiwa vyama vyote wilivyokuwepa vifutwe ili kuanza kwa pamoja.
  Na hii inaimarika kwa ukweli kwamba kuna kundi walitaka kuanzisha chama cha TANU na wakazuiwa kwa maelezo kuwa chama hicho kilikuwepo kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi. THEN WHY NOT CCM?
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  In long due sisiem imekuwa ni chama cha kuratabu mianya ya kuhujumu uchumi bila woga na huruma kwa wananchi na kupendelea wachache
   
 8. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  vyama vyote vifutwe twende freestyle kila mtu na professional yake. Hakika tutapata maendeleo
   
 9. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  The question is, nani wa kukifuta??.. Msajili wa vyama..( Ambaye ameteuliwa na raisi (Ambaye ni mwekiti wa chama kinachotakiwa kufutwa))?..
   
 10. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  nikifikilia system na shield waliojiwekea hawa jamaa ingekuwa kukata tamaa ni kosa kubwa ktk mapambano ningesha ridhika na hali. Ila tutapambana mpaka pumzi ikate. Hawa ccm ni zaidi ya mafia, Sumaye juzijuzi kasema yale Dr Slaa aliyokuwa analalamikia kuwa Dola inaingilia demokrasia lakini wote wamejifanya hawajamsikia kwakua aliye sema ni mmoja wao na anajua mchezo mzima unavyochezwa. Eti vijana wa ccm pwani bila simile wala aibu wanasema ni wakati wao kula wazee wamevimbiwa wakae kimya. Hivi hii nchi inamilikiwa na ccm si ya watanzania tena au wanamaanisha nini wanaposema zamu yao kula?
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CCM ilibidi ifutwe wakati wa kuanzisha vyama vingi 1991, bado sijaelewa kwanini kilibaki kuwepo.
   
 12. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ianze chadema kufutwa ambayo imesababisha mauaji ya raia wawili na mkenya mmoja! Chadema ifutwe!
   
 13. m

  makaptula Senior Member

  #13
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Unaweza kutuelezea ni jinsi CDM ilivyosababisha mauaji ya Arusha?
  Mimi nasema CCM ifutwe kwenye daftari na kwenye mioyo ya wa TZ.
   
 14. k

  kakini Senior Member

  #14
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli wewe mlengo wa kati na kama ungejua maana ya ilo jina lako ulilojipachika
   
 15. O

  Omr JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna kinacho futwa hapa, CCM itapita kiulaini 2015 na mtabaki mnalialia tu. CHADEMA hawana nguvu zaidi ya kelele za humu JF. Tanzania ilioamka ni ipi hiyo wakati mpaka leo usukumani wanajua rais ni nyerere na chama kinachotawala ni TANU.

  Hivi nyinyi hamuoni kama CCM inawafanya macartoon na itaendelea kufanya hivyo miaka nenda rudi, CHADEMA wamepiga kelele kuhusu ufisadi na CCM wamekubali kuwa wanao na wanawasafisha. Sasa hao CHADEMA hawana jipya tena.
   
 16. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna vigezo vinavyopelekea chama kufutwa na msajili. Mambo yaliyoelezwa kwenye mada hii hayahusiki hata kidogo.
   
Loading...