Ni Kombani, Werema (Star tv) & Wassira, Nape (TBC)

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Leo kumekucha na mpango mahsusi tunaona serikali imeamkia rasmi na mpango mahsusi wa kuutetea muswad uliokataliwa na wananchi wa katiba mpya.
*Tatizo nilionalo ni pale mwanasheria mkuu wa serikali anapojitokeza rasmi kutetea rasimu hiyo ya katiba ambayo ni wazi ilikataliwa tangu siku ya kwanza.
*"constitutional review act" anataka wananchi tuikubali na haina shida ila tatizo ni uelewa wetu wananchi.
*khs vifungu visivyoguswa,anasema kizazi cha DOT COM kisaidiwe ili kielewe historia ya nchi.
 
Hawa wapuuuuuuzi kweli hawajitambui hawajui kinaxhoendelea duniani wanang'ang'ania kuwa mwisho wa yote maamuzi yatatolewa na serikali na sio wananch.i ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. acha wapige makelele sisi tunajua tutakacho kifanya.
 
Angalia star t.v mh werema na mh kombani wanazungumzia mswada wa sheria ya marekebisho ya katiba.
 
Leo kumekucha na mpango mahsusi tunaona serikali imeamkia rasmi na mpango mahsusi wa kuutetea muswad uliokataliwa na wananchi wa katiba mpya.
*Tatizo nilionalo ni pale mwanasheria mkuu wa serikali anapojitokeza rasmi kutetea rasimu hiyo ya katiba ambayo ni wazi ilikataliwa tangu siku ya kwanza.
*"constitutional review act" anataka wananchi tuikubali na haina shida ila tatizo ni uelewa wetu wananchi.
*khs vifungu visivyoguswa,anasema kizazi cha DOT COM kisaidiwe ili kielewe historia ya nchi.

Epuka kuonge na kuangalia mtu JANGILI, ZIMA TV
 
Among the hopeless persons academically Werema is one of them.
Very poor and incompetent.
 
startv wanashangaza kabisa.kwanini wasimweke tundu lisu au mbowe nao wakakanusha au kukubali hoja?kuna siku tena wamemweka kigwangala na dada mmoja.haileti ladha ya kutizama kwan twajua kuwa dodoma wapo wabunge wa upinzani.wanakuwa bias kitu kinachowapunguzia watazamaji.mza waweke govt na upinzani,dar au ddm wafanye vivyo ivyo.
kuhusu katiba nategemea muswada utarekebishwa uendane na matakwa ya wengi ili wasivuruge amani
 
Ikumbukwe, hiki ni kizazi kipya kinachohitaji mabadiliko ya dhati. Wajiepushe KUKURUPUKA.
 
Werema isnt a lawyer bt a politician.mtu ukishakuwa Ag anaota ubunge na uwaziri kama chenge warioba et al.kwnini mtu akishaingia wenye politics anapoteza uhalisia na taaluma yake?
 
Zamani nlijua werema ni smart lawyer.jamaa anaugoigoi mwingi sana .mdundo uliopo ni wa katiba mpya na wata ucheza tu
 
aaaaaaaaaaah, Bring my Machine Gun, some ppl are alive just because its illegal to ****** them, without this hopeless guys, Tanzania could be one the best ever country in Africa to live.
 
Waache waupigie debe kwenye Media, wakija kwetu tutawaonesha the true color ya hiyo Dot Com generation ambayo wao wanaiishi kinadharia tu....

Labda muishie huko huko na bungeni na msije huku nje kwetu, you will see what we are determined to do and what we can......

Zama za kuburuzwa tulikwisha kuzipa mkono wa kwa heri
 
AWULETHE UMSHINI WAMI,,,,,,,,,, niwamalize wapuuzi kama kina werema,kombani,wassira,karamagi,rostam nk ujue nina hasira hapa mpaka basiiii
 
sina imani nao manake hata jaji anaonekana kutetea maslahi ya CC badala ya maslahi ya watanzania wote kwa ujumla,mengi tu amekuwa akiyaficha ficha anapotetea miswada na hata sheria,nlimtoa akilini alipotaka spika aite askari wa bunge waje kumkamata wenje badala ya yy kusimama kidete kuona haki inatendeka kama vifungu vya bunge vimekiukwa. Pili waziri alishasema watanzania hawahitaji katiba mpya sasa ataongea nn cha maana huyu mama???? sidhani kama kuna jema litakalotoka vinywani mwao.
 
maslahi ya kombani na werema katika maswala ya sheria ya nchi hii yanaonekana ni kuitetea chama chao kuna hoja ya tundu lisu mahakama kuingiliana na ukada wa CCM hata makinda nae anaunga mkono maswala ya ukada
 
pinda ana hangover za konyagi za jana kwenye party ya wabunge .....kasema ndiyo mara mbili spika hataki ..hili limama hili
 
na msijali IT IS A MATTER OF TIME. na ukweli utaeleweka hivi punde,iko siku wataelewa kuwa sauti ya wachache nayo huwakilisha wengi.
harakati zinaendelea na imewalazimu kupiga kura kwa kuhesabu badala ya NDIO OOO!
 
Back
Top Bottom