Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WHAT A FOOLISH QUESTION TO ASK-Don't you see how our people are suffering? Indeed they have been suffering for many years and everyone knows – [see also-Taarifa kwa vyombo vya habari toka Ikulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema...
1 Reactions
160 Replies
15K Views
Wana JF Kuna swala moja limekuwa likinikanganya sana katika ufuatiliaji wangu wa habari za Kampuni ya Richmond Development na Dowans.Swala lenyewe ni Kuwa Richmond Development ni kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kweli imetokea ingawa ni kama utani, juzi vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza kwa mbwembwe kwamba chama cha UPDP kitafanya mkutano wake wa hadhara jana katika viwanja vya Bakhresa Manzese...
0 Reactions
125 Replies
12K Views
Akitoa taarifa kwa vyomba ivya habari ili ifike kwa wananchi na hali ikiwa ilele ya kutumia vyanzo vya umeme TANESCO waendelea na mgao toka saa kumi na moja jioni mpaka sasa hakuna je ni kuishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Badala ya kujivua gamba kumbe mwenyekiti alikuwa anaandaa mbinu ya kutafuta mrithi wake ambaye anatakuwa wa ‘type yake’. Pamoja na kubadili safu ya uongozi mjini Dodoma, CCM pia ilitangaza kwamba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Licha ya kupewa ushauri wa maana hapa jf, nape kaendeleza post zake zisizojitosheleza, baada ya majuzi kupost "chuo kik8 cha dodoma", leo kaandika "mchango wa vitambulisho vya taifa/utaifa katika...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Wana JF kuna jambo hapa laweza kuwa kudhihirisha kwishiwa kwa serikali au muendelezo wa ufisadi nchini na kwa ccm kiujumla. nimetonywa kuwa ile siku ya kemia duniani iliyoadhimishwa pale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hii kesi imefikia wapi? Maana upande wa pili ukishindwa kufika mahakamani kwa ahadi zao wanashambuliwa kweli. Hii kesi imefika wapi? Watanganyika bwana.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wabunge, waziri watunishiana misuli * Ni Kabaka, Jenista Mhagama, Mbilinyi (Sugu) * Wavutana katika kutembelea kiwanda * Kiwandani wabunge washuhudia ‘madudu' * Wafanyakazi wanalazimishwa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kesi ya Prof. Mahalu – Zengwe jipya jikoni Kuna habari kwamba upo uwezekano mkubwa upande wa mashitaka ukaumbuka kisawasawa kutokana na affidavit ya His Excellency BWM, our ex President...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ningemshauri Raisi Kikwete badala ya kulalamika atubu mabaya kwa Watanzania na atoe ahadi na kufanya jitihada za kubadilika. Kikwete hagombei tena urahisi huu ni wakati wa kufanya kazi bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi tumekuwa tukisikia serikali na tasisi zake, kadhalika hata watu binafsi kuahidi kufanyia kazi mambo mbalimbali.Hii hupelekea ama kusitisha mjadala au kuongeza kiu ya wananchi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nape tunashukuru sana kwa kuja hapa JF, tunajua una kazi nyingi ila mtindo wako wa kuweka bandiko hapa na kukimbia sio fresh, hapa JF ukiweka bandiko lazima ulitetee, sio lazima ujibizane au ujibu...
2 Reactions
203 Replies
14K Views
Miaka sita, saba kasoro Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singidan Selestine Yunde akifungua kikao cha baraza la madiwani. Kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Illuminata Mwenda na kushoto ni Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna tetesi zimezagaa kwamba JK amemteua bwana Abdala Mtonga kuwa internal auditor general. Kama ni kweli nadhani uteuzi wake utakuwa mzuri maana jamaa alikuwa afisa masuhuri wa ofisi ya CAG...
0 Reactions
108 Replies
18K Views
Katika gazeti la Tanzania Daima, kuna habari inamhusu Jenister Mhagama ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge huduma za jamii. Huyu mama kama mwenyekiti, alikuwa anajaribu kuizuia kamati yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Idd Azzan aomba radhi CCM MBUNGE wa Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Idd Azzan, ameomba radhi mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kitendo cha kukiuka maadili ya...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
*NI laana, ni bahati mbaya, ni “Ujinga”, ni umaskini wa fikra, ni kupumbazwa au ni kitu gani hiki kinachosababisha tusherehekee miaka 50 ya Uhuru wetu bila ya kuwa na “vitu” vya uhakika? Hatuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…