Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

mbunge wa kahama james lembeli amewashangaawabunge wanao jadili na kunyoosheana vidole juu ya maandamano na migomo inayoendelea hapanchini na kusema tanzania sio kisiwa kwa kuwa maandamano na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nchi yetu ilitembelewa na mmoja wa matajiri wakubwa duniani lakina hili siyo la kushangilia sana.. kwani nchi hii ni tajiri kuliko kichwa panzi anavyofikiria... na wala hatuitaji huo msaada...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwasasa tumefunikwa na sakata linalohusu posho za Wabunge. Wapo wanaodai ziondolewa na wengine wanataka ziendelee. Kwa uchunguzi usio rasmi ni kwamba kazi ya Ubunge imekuwa ikiwavuta watu wengi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF nimeamua kujitangaza babu yangu (ukoo wa baba) ni mbunge wa Kahama (James Lembeli) kupitia Chama Cha Magamba (CCM) Kwa hiyo mwenye kero yoyote aiandike alafu nitampigia simu nimweleze then...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo asubuhi nilikuwa nikiangalia mahojiano ya mtangazaji wa tbc Gabriel Zakaria akiwahoji Aggrey Mwanri yule wasiri wa Tamisemi na dada Halima mdee kuhusu masuala ya Tamisemi. Huyu Agrey alijaribu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu na Katibu wa ccm katika wilaya moja ya mkoa wa Iringa , ikisema kuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa amekamatwa kwa Rushwa akiwa Iringa Mjini, anatuhumiwa kwa Tendo la Utoaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
tarehe 07/01/2011/ taasisi ya haki za binadam ya aford , ilipeleka malalamiko kwa igp said mwema ikimutaka achukue hatua dhidi ya kikao cha umafia kilichofanyika kwa mch. Rwakatare lakini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika pitapita yangu kusoma habari za nyumbani nimekutana na habari hii nikaona hebu nishare na wanajamii Nchi Ya Wapiga Porojo Itaendelea Kwa Muujiza Upi? Na Nova Kambota Kama kuna jambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Si jambo la tetesi tena kwamba sera na mrengo wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ni ule wa kikristo. Hii ni kutokana na hatua yake ya kuweka wazi urafiki wake wa karibu na chama...
3 Reactions
228 Replies
24K Views
Kuna makongamano yanaendelezwa na hawa watu vioo vikuu.walianza Moshi wameenda Mzumbe morogoro na sasa week ijayo wako Mbeya na hapa UD naona maandalizi yanafanyika.Jaman wanamaanisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naangalia bunge live tbc jioni hii, huyu mbunge amewachana serikali ya ccm kuwa maendeleo kwa wananch ni wajib wa serikali na si ombi,amewaambia wabunge waache kupongeza/kupiga makofi kupongeza...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
With a few exception... Wabunge wa CCM mnaotembelea hapa JF hivi haya ndio tuliowatuma..Kumshukuru Mungu kwa kuwa bungeni?Kutoa ahadi za kuwatumikia wananchi?Kupongeza bajeti?Kuwa wasemaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LEO asubuhi wakati Mnyika anaanza kujenga hoja zenye kuonesha maana ya bunge, zikielekezwa kwa waziri mkuu baada ya kusaidia kama kinda na spika, walikata umeme ghafla. Tena ukarudishwa jioni saa...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Tanzania ina tatizo kubwa sana la kutenganisha na kusambaza madaraka. Bunge limekua chombo cha kuridhia kila jambo linalo fanywa na serikali na kupitishwa na baraza la mawaziri. Wakuu wa mikoa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania ni maneno yaliyopo kwenye beti za wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mtazamo wangu nadhani tunapaswa tuombe Mola/Mungu aendelee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Stephen Kebwe,mbunge wa jimbo la Serengeti anaonyesha kabisa kwamba suala la elimu ya uraia kwake ni tatizo. Anajenga hoja kwamba kuna wanasiasa wanaotaka kujifunza siasa kupitia uhamasishaji wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nape Moses Nnauye katibu wa itikadi na unezi wa CCM jana alitembelea ofisi za Mwananchi communication na leo ametembelea Global Publishers. Ziara hizo zimevunja minon'gono ya hapa na pale...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna wabunge wachace sana CCM ambao hawataki non sense bungeni kama huyu mbunge wa Nkasi Kaskazini. Ameongea juu kutowajibika kwa serilali. Mengine ni pamoja na tabia ya wabunge kuisifia...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Watafanyiwa Usajili upya utakuwa J'mosi na J'pili ijayo. Isipokuwa watu 15 ambao majina yao yametajwa na wale wanaodaiwa ada. Source: TBC1
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thursday, June 30, 2011, 6:57 Habari kuu, The african BY JAMES KANDOYA CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Central Committee (CHADEMA-CC) has appointed a team of four people to investigate...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…