Sitta na Mwakyembe kunguruma mbeya

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Kuna makongamano yanaendelezwa na hawa watu vioo vikuu.walianza Moshi wameenda Mzumbe morogoro na sasa week ijayo wako Mbeya na hapa UD naona maandalizi yanafanyika.Jaman wanamaanisha wanachooffanya au kunasiasa za ccm ndan yake.?plz anaejua haya naomba atujuze isijekua ndo mbio za ikulu
 
Si wabunge wa CCM wanasema tuwaache watoto wasome, hawa wanaenda kama kina nani na kufanya nini? Mbona they dont do what they preach!
 
Back
Top Bottom